EWURA yatoa leseni ya biashara ya mafuta kwa COPEC

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Copec waruhusiwa kufanya biashara ya mafuta tena. Copec ni kampuni ya serikali
 
wakuu mwenye taarifa za mmiliki wa copec kampuni ya mafuta atuambie. Make hii kampuni haiwezi pewa kazi hivihivi tu,
 
Ewura imetoa leseni ya biashara ya mafuta kwa kampuni ya Copec inayomilikiwa na serikali.
Kampuni hiyo imetengewa fungu ili ianze mara moja kuagiza mafuta.
 
COPEC kampuni tanzu ya serikali kupitia TPDC imepewa leseni leo kuanza kufanya biashara ya mafuta
 
Huu ndio ujinga wetu watz! Huwa tunasubiri maji yamwagike ndio tunahangaika kuyazoa! Siku zote hizo walikuwa wapi, hadi wafanyabiashara wa mafuta wameshaligharibu taifa ndio wanakumbuka copec! This gvt can not work one step ahead. It work like fire brigade! Always asleep untill moto unapoanza kuunguza nyumba ndio wanaanza kazi! Ujinga mtupu!
 
wakuu mwenye taarifa za mmiliki wa copec kampuni ya mafuta atuambie. Make hii kampuni haiwezi pewa kazi hivihivi tu,

East African Business Week
11 November 2009

The Tanzania government, through its state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), plans to engage in marketing of petroleum products to stabilize prices and provide competition to the private sector.

The move was announced earlier, almost four years since it received parliamentary approval, in a bid to guard against price distortion of the strategic fossil fuels. It was deemed important for the Government to have a hand in the marketing of this strategic product and guard against strangulation because most oil firms are foreign.

The TPDC announcement said it had identified an investment/development opportunity for importation and distribution of petroleum products in and outside Tanzania through its subsidiary "Commercial Petroleum Company of Tanzania" (Copec). The corporation is seeking to enter into a public private partnership with a firm or consortia to exploit the oil marketing trade together. Applicants have been given until December 10th, 2009 to submit their applications for partnering.

The TPDC, whose major duties to date is to participate in the exploration of fossil fuels with oil prospecting firms, and parcelling out oil and natural gas exploration areas to mostly foreign firms, will be joining over 50 other oil marketing companies in the market.

Most exploration firms come from Canada, Australia, UK, Ireland and Brazil. The 50-plus oil marketing firms had until last year been raising prices arbitrarily at petrol pumps before the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) intervened to propose mandatory maximum price limits in different parts of the country depending on their relative distance from the Dar es Salaam port and the world market.

When the idea of letting TPDC engage in oil marketing was mooted, it was thought the big oil multinational marketing companies were accused of setting up an oil cartel. These oil importers and marketers were said to dictate to smaller ones resulting into uniform price rises of fuel at pumps over night.
 
Hii copec hata mimi c elewi inamilikiwa na nani. Tpdc ni ya uma but copec wataingia ubia na tpdc, make hata mimi ninavyo amini copec hawawezi pewa tenda hivihivi.
 
Mambo ya kitoto hayo....siku zote hawakujua kuna haja ya kuwa na hiyo Copec au walikuwa wanasubiri mpaka watu wasumbuke kwanza ndio walete hiyo Copec. Mijitu imelewa madaraka muda wote ni kusinzia tu mjengoni hakuna kitu cha maana wanachofanya...%*$@&*<#& zao kabisa.
 
ufisadi tena huo!, chunguzen hiyo copec wala si ya public! Game imechezwa,na wameshinda! Awiiiiiii!nitauficha wap uso huu?, utasikia ruzuku tr2 kuwapa uwezo!
 
mi naogopa sana haya maamuzi ya zimamoto.Subiri usikie bilioni zilizopotea
 
hapa utasikia tu kesho copec ni mafisadi hawana lolote na wote mjengoni wamepiga meza hiyo ipite kwa 100%..
 
KINACHOTUTAFUNA TANZANIA HADI HIVI SASA NCHINI NI UKOSEFU WA UONGOZI ADILIFU NA KUKOSEKANA UTAWALA BORA KIUTENDAJI

Ni ajabu na kweli kuona jinsi ambavyo watawala wanavyoenenda katika shughuli zao za kila siku. Kama mtu bado huamini tu basi hebu tu wewe mwenyewe tupe JIBU hapa jukwani.

Hebu jaribu kutufahamisha kama kweli hali halisi kama ilivyoainishwa hapo chini kweli itasaidia kukuza MASLAHI YA UMMA katika nchi hii au ni ukuta wa kuendeleza MASLAHI BINAFSI kwa kutupora sisi kama taifa:

Mpaka hapa mtu kweli unategemea WATUMISHI WETU huko serikalini kweli watawezaje kufanya kazi yao ipasavyo na kwa mujibu wa sheria zetu bila kupindapinda pale unapomkuta mkuu wa nchi tayari katamalaki kila upande kiasi cha kuona;

1. Kikwete Mwenyekiti wa CCM Taifa

2. Akitupa geresha za Kumuagiza Kikwete Rais na Kiongozi wa Serikali ili naye

3. Akumamrishe yule Kikwete Mfanyabiashara wa mafuta pale Lake Oil akapunguze bei ya mafuta.

Ewe Mzee Wassira, kwa nini hamkuliona hili na kumshauri mkuu wa nchi; DHANA YA UTAWALA BORA sasa uko wapi hapa??? Mbona kinyaa hivi!!!!!!!!!!!!

Mzee Simbeye, Wakuhenga, Warioba, Kubenea, Mjengwa na Jenerali Ulimwengu, nyinyi kama wakosoaji wa jamiiyetu hii hili hamkuliona???????

Kweli kabisa mtu ukijitwisha kofia hizi zote tatu na kujizivalia umaridi kabisa wewe mtu mmoja tu, Dr Hosea, kweli bado kunakosekana hali ya MGONGANO WA KIMASLAHI ambao hivi sasa inasababisha Watanzania tuliowengi kuwa WALAZWAHOI.

Hapana, Hapana na Hapana; hatutaki tena wala hutusikii cha mtu hapa - ulaghai na ufisadi sasa basi mwishoooo!!!! Mpaka hapa wala mtu huitaji kuwa na elimu ya hata sekondari kugundua kwa nini mambo kila siku hayaendi kwa njia nyoofu huko serikalini badala yake watu kuzunguka tu mbuyu; kumbe kuna Joka kuu katamalaki na kuenea kila kona!!!

Watanzania wenzangu, ni kati ya Kikwete yupi kati ya hao watatu atakayeweza kupata kweli ujasiri na uhalali wa kumdhibiti yule Kikwete mwingine?????

Mbona tunachezewa shere siku zote hivi nchini na bado tu watu hatuoni haya yote????????????? Je baada ya kusoma na kutafakari haya niliyoyaandika hapo juu:

1) Je, bado unayo imani na Hoja ya Dharura ya Januari Makamba kule bungeni Dodoma??

2) Je, bado unategemea kusikia kutolewa kwa agizo lolote na serikali yetu na ikazingatiwa???

3) Je, mpaka hapo bado unaamini kuwa EWURA ni chombo cha kulinda maslahi yetu Umma wa Tanzania????

4) Je, kwa hiyo hali hapo juu na ukipiga picha na kwingineko kama eneo la matatizo sugu ya maji, maliasili na umeme nchini bado tu utakua unaamini kweli kwamba Dr Hosea bado anayo meno ya kuweza kutafuna mtu au kampuni yoyote hapa nchi kwa madai ya UFISADI???????????????????

Tafakari zaidi na zaidi na mwisho ujishauri mwenyewe jinsi UTAKAVYOTUMIA HAKI YAKO YA KUPIGA KURA siku za usoni!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom