'Tahrir square' ya Dar ni wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Tahrir square' ya Dar ni wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makoye2009, Feb 21, 2011.

 1. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,

  Ninaguswa sana na matatizo yanayotukumbuka kwenye nchi yetu,matatizo ambayo ukiyachunguza kwa undani ni kwamba yanasababiswa na mfumo MBOVU WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM(Chama cha Majambazi au Mafisadi).

  Mpaka sasa hivi kuna matukio ambayo yanatugusa Watanzania moja kwa moja na inabidi tuchukue hatua ili kuwashinikiza CCM waondoke madarakani. Matukio hayo ni:
  1. Mgawo wa umeme unaosababishwa na uzembe wa Serikali.
  2. Kushuka kwa kiwango cha Elimu ya Sekondari ambapo 50% ya vijana wamepata Daraja sifuri(0).
  3. Milipuko ya Mabomu ya G.Mboto yaliyosababishwa na uzembe wa JWTZ.
  4. Kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na kushuka kwa thamani ya Tshs.
  Hakuna mtanzania ambaye haguswi na matatizo haya. Kwa hiyo mimi nashauri kuwa Watanzania tujipange kuandaa MAANDAMANO YA NCHI NZIMA(PEOPLES POWER)KUSHINIKIZA SERIKALI YA CCM IONDOKE MADARAKANI BAADA YA KUONGOZA KWA MIAKA 50! Wenzetu TUNISIA,MISRI wameweza kuwaondoa viongozi wao waliokaa madarakani miaka kedekede na sasa NUVU YA UMMA IMEHAMIA LIBYA, na YEMENI na mapambano bado yanaendelea.

  Napendekeza TAHRIR SQUARE YETU IWE VIWANJA VYA JANGWANI.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yaani umeonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri, fanya utafiti wakina wa sababu za misri na hizo ulizo andika hapo. Nenda peke yako na familia yako
   
 3. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Genius Bomu,

  Sijasema kuwa lazima sababu/matatizo yaliyosababisha Watunisia na Wamisri kuziondoa serikali madarakani ni lazima ziwe replica ya sababu/matatizo yetu. Lakini angalao zinashabihiana kwa namna moja ama nyingine.Ben Ali wa Tunisia amekaa madarakani miaka 23 na Hosni Mubarak miaka 30. CCM wamekaa madarakani tangu Uhuru leo ni 50 years. Sasa kati ya Watanzania na Tunisia na Misri nani ambao UTAWALA wao umekaa sana madarakani na unatakiwa uondolewe?

  Sababu zilizosababisha Wamisri wakaingia mitaani kwa kutumia nguvu ya Umma kulingana na taarifa ya vyombo vya habari wanasema: Mainly for financial reasons. That many Egyptians are complaining of poor living conditions, economic stagnation and widespread unemployment. But there is also anger at political repression, suspected rigging in recent elections and at possible plans by Hosni Mubarak to have his son Gamal succeed him later this year

  Hizo sababu za Wamisri kwa sehemu kubwa hazina tofauti sana na MATATIZO YETU TULIYONAYO hapa Tanzania. Mimi nimejaribu tu kuainisha matukio ya sasa hivi ambayo yanaendelea na yanayoweza kuchochea NGUVU YA UMMA kuingia mitaani kupinga utawala wa CCM.

  Tunisia aliyesababisha alikuwa kijana Graduate wa Chuo kikuu ambaye hakuwa na ajira akawa anauza mchicha,polisi wakamvamia wakapinduapindua meza yake na kumtimua ndipo alipoamua kujiua kitu ambacho kilichochea mwanzo wa PEOPLES POWER!

  Ina maana na wewe unataka mtu ajilipue afe ndiyo uanzisha PEOPLES POWER???
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Tuweke mgomo baridi tu
   
 5. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  NI wapuuzi kama the so-called GENIUSBRAIN tu ndio wasioyaona matatizo makubwa yanayoikabili nchi hii. Ili kuondokana na matatizo makubwa yaliyopo hapa nchini ni lazima utawala dhalimu wa CCM ung'olewe madarakani kwa njia yoyote ile. Angalia jinsi nchi inavyozidi kuangamia na hakuna matumaini yoyote mbele ya safari. Tunaongozwa na serikali isiyojua inafanya nini. Angalia upuuzi wa wanasiasa wetu kule Bungeni. Hakuna tena matumaini kutoka kwa wanasiasa, sasa kilichobaki ni NGUVU YA UMMA.
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  Kiwanja kizuri ni Mnazi Mmoja, ujue hiyo ni sawa na vita haifai kuchagua sehemu utakayozingirwa kiurahisi.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe unasauti kumzidi mtoto wa Mubarak Gamal Mubarak alivyokuwa akibeza wewe ni kapuku tu siku ikifika utaucheza mziki.
   
 8. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakubwa nawashauri mara nyingine msiwe mnasumbua vichwa vyenu kumjibu huyu binaadamu!!!! Character assassination kwa mtu kama huyu... is to ignore him/her.... whatever!!!
   
 9. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Precisely!!!... Mnazi mmoja patafaa zaidi. Ili maandamano yawe ya mafanikio inabidi yasimamishe shughuli za kawaida za kila siku za serikali (paralysis). Tukiandamana Jangwani mabaazazi wataendelea kutesa mjini bila vikwazo vya kutosha.
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Nani wa kuyaanzisha, kuyasimamia na kuyaendeleza haya?
   
 11. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  GeniusBrain sio mjinga. Nadhani ni mmoja ya watu wanaonufaika na udhaifu uliopo nchini au ni sehemu ya yanayoendelea
   
 12. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  biafra kinondoni......unakumbuka vita ya biafra---nigeria?
   
 13. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180

  Mwenbe yanga!!!! teh teh teh
   
 14. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I think you should make your tahrir square right there at the stronghold of chadema (Kilimanjaro/arusha), because in dsm it won't work. Ironically, a legitimate president who has been re-elected by the majority of our citizens is put in the same box as those non elected arab leaders who have been running their countries for over a generation. This is the effect of hatred, as hate will make you deaf, blind and not think right. Democracy is different from democrature. (Those with an idea of french might understand me better on this one). In democracy sometimes the leader you love to hate wins and you have to live under his regime. In democrature the leader you love must win and a victory to anyone else is a miscarriage of justice.
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,397
  Trophy Points: 280
  i wish nimjue huyo mtu anajiita genius brain.. nahisi sio mtanzania na kama ni mtanzania basi atakua right man wa hao mafisadi

  nadhani hata hiyo modem wamemnunulia na wanamwekea MBs za kuja kusumbua humu.... siku yaja
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Acha kuturudisha nyuma wewe fisadi mkubwa mnaofaidika na utawala dharimu!go to hell!!
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kweli mnazi mmoja ni pazuri zaidi,kwa Dar es salaam,Arusha iwe uwanja wa Karume na Mwanza iwe uwanja wa nyamagana!!
   
 18. s

  saluu Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupo pamoja PEOPLE POWER ndio dawa ya wezi sisimu kwani wamezoea kuiba sana mpaka kura wanaiba

  mnazi moja wakigoma kuondoka tunawafata ikulu, HATA WAKITUUA HATUTA KWISHA ILA TUTASHINDA!!!!!! PEOPLE..................!!!!!!!!!!!!!!!!!!.....
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo changamoto kubwa tuliyonayo!!
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Huyu jiniasi wa ajabu kweli; yeye anataka kukopi 1-to-1, kukiwa na tofauti basi ubongo wake hauwezi kufikiria vinginevyo bali kubaki na status quo
   
Loading...