Tanzania - A Haven of Lobyyists, and sinking | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania - A Haven of Lobyyists, and sinking

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kichwat, Aug 9, 2011.

 1. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kuanzia misitu hadi samaki, wanyama, uwindaji, ujenzi, viwanda, umeme, na sasa MAFUTA; Bongo imekuwa ikiendeshwa na matakwa ya LOBBYISTS (hasa katika miaka 10 ya karibuni) na kupelekea wananchi walio wengi kuzidi kutumbukia kwenye shimo la UMASIKINI. Tutawatokaje hawa watu?
   
 2. f

  fazili JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  hao ndio ma-conspirators wakubwa na ndio wanao-tawala nchi kikwete ni mtumishi wao tu
   
Loading...