Nashauri mabadiliko ya haraka katika baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashauri mabadiliko ya haraka katika baraza la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hittler, Aug 10, 2011.

 1. h

  hittler Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ya Tanzania ni tete, na wasiwasi hatutamaliza huu mwaka kama mabadiliko ya haraka hayatatokea.

  Mawaziri wa Kikwete wamekuwa kama hawapo, waziri mkuu amekuwa kama picha ujinga unatendeka, watu wanateseka, sheria zinavunjwa na ufisadi unaongezeka yeye anakaa kimya utafikiri ana matatizo ya macho na masikio. Aache upuuzi, hatutaki tuingie katika machafuko yatakayoleta madhara makubwa kwa sababu ya upuuzi wao.

  Kama hawezi ni hawezi tu,ata kusali aitasaidia tena, ajiuzulu aingie mwingine atakayekuwa kama Sokoine. Pinda anashindwa kukemea maovu, anajifanya yanashughulikiwa.

  Kuna haja gan ya kuwa waziri mkuu kama kila jambo lazima rais aseme, basi livunjwe baraza la mawaziri na cheo cha uwaziri mkuu kifutwe na hao mawaziri wasiokuwa na aibu wanakaa kama mashati waondolewe.
   
Loading...