Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGOLALA, Jul 30, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wana JF,

  Kuna sms inayosambaa kwa sasa ya kuwa serikali imelazimisha kushusha bei ya mafuta kuanzia tarehe 1 August, hivyo wauza mafuta watagoma J3.

  Wanashauri wananchi wajaze mafuta ya kutosha kipindi cha mgomo!

  MY NOTE isije ikawa wanalazimisha kuuza ili J3 wasije uza kwa bei ya chini
   
 2. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  we kweli ndio bongo lala wa ukweli! Hapo ulipo hakuna kituo cha mafuta uka-prove?, wagome wana jeuri hiyo? Hao ni wezi wakubwa! Hapo wamenitaarifu nisinunue mafuta mpaka j3
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asiye taka kuuza bei iliyopangwa arudishe leseni na aanze kuuza mafuta ya kupikia.

  Pia achukue akili za mbayuwayu achanganye na za kwake ,,, eh ndio,,, ndio maana yake. Eh serikali haitamvumilia mfanyabiashara yeyote atakayegoma eh! ha ha ha maana ha haa tueleweke hivyo bwana. Maana nalo hilo ni jambo kubwa tutakaponyamaza sisi kama serikali hatutaeleweka.

  Hata kama ni kura na pesa zao sizihitaji kabisaaaaa.
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Habari nilizo ipata sasa hivi kutoka kwa wadau wa mafuta, inaelekea makampuni ya mafuta yakagoma kesho kuuza mafuta kutoka na kupunguziwa bei ya kuuza mafuta iliyotokana na kuondolewa baadhi ya kodi.

  Nchi inaelekea pabaya, kama Zimbabwe, tujiadhali
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Makampuni gani yagome??! Hao woooote ni magamba, hawalipi kodi zaidi ya PAYE.
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuna mgomba kabamba unakuja anytime kuanzia kesho kwa kampuni za mafuta ya petrol and the products kususia agizo la serikali kuyataka makambuni yashushe bei za bidhaa hizi muhimu.

  Kanunue mafuta ya kutosha kwa ajili ya gari lako au generator maana kutakuwa na uhaba.
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mh! Mgomba kabamba? Poa kwa taarifa mkuu
   
 8. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  hata mi nimesikia hiyo kitu kuna rafiki yangu kanidokeza kuwa leo nifanye mchakato mzima kesho wanaweza goma
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  taarifa iliyopo ni kuwa mmiliki yoyote wa kituo cha mafuta atakayegoma atanyan'ganywa leseni yake.. kwa hiyo wana JF msiwe na wasi wasi.. kwani wao mara ngapi tumepandishiwa bei ya mafuta lakini hatukugoma kununua? taarifa kutoka ewura .. atakayegoma leseni yake inachukulia full stop
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  EWURA set to announce new fuel prices

  PUMP prices for all petroleum products will decrease slightly effective tomorrow as the regulator in the energy subsector is set to announce new prices. The prices were expected to drop since yesterday but further stakeholders' consultation delayed the process, according to Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)'s Principal Communications Officer, Mr Titus Kaguo. "We will be announcing the new prices tomorrow (today) which will be effective from Wednesday this week," Mr Kaguo told the 'Daily News' in a telephone interview from Dodoma on Monday.

  Finance Minister, Mr Mustafa Mkulo announced revision of taxes and levies charged on petroleum products in a bid to reduce prices of the commodity. Mr Mkulo made the announcement when tabling budget estimates for financial year 2011/12 in the National Assembly in Dodoma. Ever since the minister made the announcement, EWURA has been conducting several consultations with stakeholders in the industry to review the current formula used in computing indicative and cap prices. "There will be a slight decrease for all petroleum products from Wednesday this week," Mr Kaguo said. He would not however, elaborate.

  The EWURA official warned dealers who will charge alternative prices, saying stiff penalties await them. The regulator had earlier announced that prices would drop on July 1, while those of petrol were to decrease by August 1. EWURA Director General, Mr Haruna Masebu, told a news conference that kerosene prices would go up, in line with new taxation regime on petroleum products. According to Mr Masebu, diesel prices were supposed to drop by 215/- per litre while the price of kerosene would have surged by 430/- a litre. He said the price increase on kerosene would curb fuel adulteration. However, kerosene is the main source of heating, cooking and lighting for majority of rural folks.

  Presenting the budget estimates, Minister Mkulo had told the august House that EWURA would advise the government on the amount of fees to be reviewed or abolished. Higher fuel prices in the country have been blamed on among others; diverse levies charged by various government institutions. The institutions include EWURA, Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA), Tanzania Ports Authority (TPA), National Bureau of Standards (NBS), TIPER and Weights and Measures Agency (WMA). Fuel consumption in Tanzania is estimated at five million litres per day, with the exception of tax-exempted fuel to mining companies. Available statistics show that about 1.7 million tonnes of petrol, diesel, kerosene and jet fuel are imported in the country each year.

  Daily News | EWURA set to announce new fuel prices
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu una sheli nini? Bei inashuka kesho kwa asilimia 6. Wenye sheli wanasamnaza habari za kugoma kuanzia kesho ili watu wakanunue mafuta mengi kwa bei ya juu leo. Sinunui mafuta kabisa leo. Nasubiria ya bei rahisi kesho. Wao wameshakubaliana na EWURA kushusha bei wanachogomea ni nini tena?
   
 12. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wagome tu tutatembea kwa miguu
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kesho petrol sh 1500 per litre!hongera CDM peoples power...!maandamano muhimu sana kuishinikiza magamba.
   
 14. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kama mlipvyotushinikiza kuingia mkataba na IMF.
   
 15. g

  godbiy Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  kuhusu kugoma kunaweza kusitokee lakini ukweli ni kwamba kufuatia EWURA kushusha bei kuna uwezekano mkubwa makapuni mengi yakapata hasara kwani wana "stock" ambayo kwa njia moja au nyingine itaweza kuisha baada ya mwezi.

  Habari zilizopo ni kwamba,mwezi uliopita EWURA waliishapunguza bei kwa TZS 200 kufuatia marekebisho ya bajeti iliyopita.Sasa wanaambiwa washushe tena kwa TZS 300/ltr ambayo inafanya kwa ujumla bei ipungue kwa wastani wa TZS 500/LTR.

  kwa wale wanaofahamu au kuiona 'calculator' ya EWURA,bei iliyopendekezwa ipo sahihi kufuatia punguzo za tozo lakini swali ni je EWURA wamefikiria suala la muhimu ambalo waagizaji wote uwa wanakuwa na "stock" ya kutoshereza mahitaji ya wateja ya mwezi kwa wastani na hili ndiyo ugomvi wao.

  Wengine wanaweza kusema mbona bei ya dunia ikipanda huwa sisi hatulalamiki wasubiri mpaka 'stock" ya zamani iishe? anyway,impact yaweza kuwa kubwa kwani maamuzi yameamuliwa na UMOJA WA MAKAMPUNI YA MAFUTA TANZANIA.
  kwa waagizaji wanaweza kushusha bei ila dealers ambao tayari wanamafuta ambayo gharama zake zinabeba "computation ' ya zamani.inaweza kuwa ni ngumu kufanya hivyo
  Yetu wacho.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  godbiy, mbona bei ikitangazwa kupanda huwa hawauzi bei ya chini kwa ajili ya 'stock ya zamani'? hiyo lugha tu,hata wakipewa mwaka mzima watasema stock haijaisha! time for change, they have taken us for a ride far too long,suits me fine wapate nao hasara kidogo!
   
 17. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  we unajua asilimia 8.7 ni kiasi gani? Hilo ndio punguzo
   
 18. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Usidanganye watu, kesho Petroli itakuwa/itashuka hadi 2004TSH hilo ndilo punguzo ambalo ni 8.7%
   
 19. g

  godbiy Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  King'asti-Teh teh teh .Ni kweli ila mkuu punguzo la 300 si mchezo.Unafahamu margin wanayopa dealer ni TZS 100 tu! Ila ndiyo hivyo wataelewana tu sis ni "price taker" na mtetezi wetu ndiyo EWURA.Ila ukweli ni kwamba kuna 'politics" nyingi sana kwenye hili suala.
   
 20. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  The issue here ni kuwa wenye makampuni ya mafuta wana stock tayari walioigharamikia kwa sawa na bei ya sasa ili wapate faida kwa sasa kitakachofanyika watahold mafuta hawayauzi hivyo kutakuwa na uhaba, kwani UWURA watawanyang'anya leseni wale watakaouza mafuta bei ya juu na sio kuhold mafuta yaliyoloko stock, msipende kupinga kila issue fikirieni nje ya boksi kabla ya kujibu hoja...
   
Loading...