Dialo aifagilia CHADEMA

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Ni katika kikao cha ccm mwanza, akiwaambia wajumbe wa mkoa kuna wana ccm wanakisaliti chama ila hawachukuliwi hatua na kusababisa ccm kushindwa, ni bora kuchukua maamuz magumu kama wapinzani wetu Arusha walivyowafukuza madiwani wasaliti. Akashauri ni bora kubakia na wanaccm wachache waadilifu.
Source star tv news saa 2 usiku.
 
Hao wanajulikana mbona wapo wengi mguu mmoja upo ccm mwingine upo cdm, mchana ccm usiku cdm kwenda zake ndio maana alianguka ubunge kwa unafiki.
 
Huyo tycoon nilimshtukia muda mrefu kuwa hayuko pamoja na ccm, tangia alipoanza kukiruhusu star tv kuendesha mada za siasa ikigonganisha ccm na chadema, huku akijua kabisa magamba hawana sera wala hoja zaidi ya kutumia nguvu ya dola kwa kupindisha ukweli.

Siyo kwamba anaiunga mkono chadema, bali analazimika kufanya hivyo kutokana na kwamba ni chadema pekee kinachowaaminisha wananchi kuwa hakiko kimaslahi, bali kwa ajili ya maslahi ya wananchi wa tanzania.
 
Mh Dialo akiongea na ndugu zake wa CCM kwenye vikao vyao vya ndani ameonekana kuikubali chadema kwa kitendo chake cha kutowavumilia wasaliti, na kuamua kuwatimua.

SWALI: Je kitendo hicho kinaweza kumhamasisha kuhamia CDM.

Source: Taarifa ya habari ya saa2usiku STARTV.

Asije kujidanganya ili tumpe nafasi ya kugombea jimbo la chenge huko maswa. asidhani chadema hatuna wapambanaji kule maswa.
 
Ni katika kikao cha ccm mwanza, akiwaambia wajumbe wa mkoa kuna wana ccm wanakisaliti chama ila hawachukuliwi hatua na kusababisa ccm kushindwa, ni bora kuchukua maamuz magumu kama wapinzani wetu Arusha walivyowafukuza madiwani wasaliti. Akashauri ni bora kubakia na wanaccm wachache waadilifu.<br />
Source star tv news saa 2 usiku.
<br />
<br />

Sisi umeme ni siku ya3 tv ni makopo
 
Ni katika kikao cha ccm mwanza, akiwaambia wajumbe wa mkoa kuna wana ccm wanakisaliti chama ila hawachukuliwi hatua na kusababisa ccm kushindwa, ni bora kuchukua maamuz magumu kama wapinzani wetu Arusha walivyowafukuza madiwani wasaliti. Akashauri ni bora kubakia na wanaccm wachache waadilifu.
Source star tv news saa 2 usiku.

Nadhani ameagiza pia star tv waanza kumuonesha mbunge wa ilemela akiwa anaprezenti
 
Hapana asijiunge na CHADEMA, yeye ni Fisadi akae huko huko

Yeye na Lau Masha walikuwa na Visa Vyao wenyewe sasa nani angeondolewa CCM kati ya hao wawili?
 
Heri yeye kaamua kusema kuliko Kikwete ambae moyo wako unaikubali CDM na mipango yako ila matendo yake yanakataa
 
Jamani ukweli unabaki palepale ccm wanaamini chadema ndo chama cha ukombozi ila wamefungwa na mfumo mfu wa zidum fikra za mwenyekiti ila wanapogeukwa ndio uweza kugeukia upande wa pili na kuanza kuuponda mfumo tata wa ccm.mfano mbunge wa viti maalum bunge la 9 sijapata nkayamba alihamia cuf,john shibuda-chadema,fred mpendazoe-chadema tunategemea kuvuna wapambanaji wengine wanaowapinga magamba.
 
Huyu jamaa mi namkubali japokuwa ni magamba,wakati anabwagwa hakuwa mkorofi wala hayakupigwa mabomu wala hakuwa mkorofi kusaini fomu ya matokeo,yeye alikuwa wa kwanza kusain mpaka magamba wakamshutumu!Huyu anafaa angalau!
 
Nyota ndogo hii picha ni mtazamo wako au wa chama chenu juu ya uislamu?

avatar50738_1.gif
 
Nyota ndogo hii picha ni mtazamo wako au wa chama chenu juu ya uislamu?

avatar50738_1.gif

Mbona mnapenda kukimbilia kwenye pazia la dini? Mtu yoyote aliyefilisika kiakili lazima ajifiche huko. Dini inamhusu mtu binafsi na muumba wake hivyo kuijumisha kwenye mambo muhimu ya mustakabali wa nchi na watu wake ni upuuzi. Hivi unaendelea kutumia kiti moto mwezi huu au umesitisha kwa muda?
 
Ndugu yake anamiliki blog moja hapachini inayoongoza kwa umbea. Usishangae

wewe ni mbea ndio maana unaenda kwenye blog inayoongoza kwa umbea.

kwa ajili hiyo blog inaongoza kwa umbea na wewe pia utakuwa unaongoza kwa umbea

wasalimie wambea wenzako.....
 
Mbona mnapenda kukimbilia kwenye pazia la dini? Mtu yoyote aliyefilisika kiakili lazima ajifiche huko. Dini inamhusu mtu binafsi na muumba wake hivyo kuijumisha kwenye mambo muhimu ya mustakabali wa nchi na watu wake ni upuuzi. Hivi unaendelea kutumia kiti moto mwezi huu au umesitisha kwa muda?

Na huu ni mtazamo wako au wa CHADEMA, waislamu tungependa kujua?
 
Back
Top Bottom