CUF yamtanganza rasmi Leopard Mahona kuwa mgombea Igunga

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
akimtanganza leo baada ya kumaliza kikao cha baraza kuu naibu katibu mkuu Julius mtatiro amesema cuf imemteua Leopard mahona kuwa mgombea tena igunga.
 
chama cha wanainchi cuf kimemtangaza Leopard mahona kuwa mgombea wa chama hicho igunga, baada ya kikao cha kamati ya utendaji ya Taifa, ambapo wao wamesema wataingia na operation mahona. wakati huo huo chama NCCR mageuzi kimejitoa katika mbio za kugombea jimbo hilo, na kuwataka wapinzani kusimamisha mgombea mmoja.
 
"Tukimaliza tu vikao vya bunge mwezi huu, makamanda wote wa CHADEMA tunahamia Igunga. Na ninawahakikishieni, haki ya Mungu, hakuna kulala mpaka kieleweke!"- Mwenyekiti wa cdm taifa ambaye pia ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mbunge wa Hai, Mh. Freeman Aikaeli Mbowe.

Aliyasema hayo akiwahutubia maelfu ya wananchi siku ya Alhamisi iliyopita jijini Arusha.
 
wakati hao makamanda wa CDM wakijiandaa kwenda makomandoo wa CUF washatua kitambo saaaana ni ngangari mpaka MAHONA atakapotangazwa mbunge wa IGUNGA
 
Kuna msema wahenga wanasema vita vya panzi furaha ya kunguru. Piganeni marungu CCM wajishindie jimbo kiulaini!!!
 
Who is Mahona ...cv yake nini kwani itatusaidia kumchambua na kumjadili.

Ila huyu ameshashindwa kwani ni mwezi huu tuu alirudi kwenda kuwalipa mawakala wake fedha za uwakala ambazo aliwaahidi wakati anagombea sasa sijui kama watamwelewa .
 
magwanda ni moto, lazima 2chukue igunga. nyie cuf na ccm 2sindikizeni. cdm ndo mtetez wa wanyonge. viva cdm
 
ivii wapendwa, naomba kuuliza:

ni kwa nini kila kitu ndani ya CUF nasikia kikisemwa na julius mtatiro? ina maana msemaji pekee wa cuf ni huyo na hakuna mwingine? nauliza manake ni muda sasa namsikia yeye tu tangu enzi zile za mashinikizo ya katiba mpya just after general election! lipumba wapi? seif wapi? duni wapi?

nauliza tu wajameni, just curious!

muwe na amani wapendwa!
 
ivii wapendwa, naomba kuuliza:

ni kwa nini kila kitu ndani ya CUF nasikia kikisemwa na julius mtatiro? ina maana msemaji pekee wa cuf ni huyo na hakuna mwingine? nauliza manake ni muda sasa namsikia yeye tu tangu enzi zile za mashinikizo ya katiba mpya just after general election! lipumba wapi? seif wapi? duni wapi?

nauliza tu wajameni, just curious!

muwe na amani wapendwa!

julius ni msemaji mkuu wa CUF bara chama cha CUF visiwani nao wana msemaji wake watu awajui kuwa cuf bara na cuf visiwani ni vyama viwili tofauti
 
cuf ni chama kimoja ila msemaji ni prof LIPUMBA na mtatiro ni msaidizi wa katibu mkuu,
 
Back
Top Bottom