Ridhiwani bungeni, kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani bungeni, kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rumishaeli, Aug 13, 2011.

 1. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kwamba si vibaya mtu yeyote kwenda bungeni ila kwa huyu mtoto wa JK kuwa kule kunatia mashaka!

  Hata hataki kamera imuone, au ndio kwenda kukamilisha madili kwenye bajeti ya dharura maana ana dili la kusambaza mafuta bandarini, na sasa anataka dili kwenye umeme?

  Naomba data zenu wana JF!
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  mpige picha ututumie, haishiwi dili huyo, lakin anyway tutayajua tu
   
 3. S

  Sngs Senior Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ebwana nakweli kakimbia kamera bwana namimi nimeliona hilo yani cjui labda kuna lolote jambo hapo embu tuone!!!!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mkimbia kamela si msafi kuna anachoficha!
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo kaenda kusikilizia dili zake za uuzaji wa mafuta maana tayari kampuni ya usambazaji wa mafuta nchini ambayo ndio pekee kwa serikali kuwa na hisa imepigwa stop! Halafu na mshua atakuwa amemtuma aandike majina ya "wasumbufu" maana hamwamini mtu na bajeti yenyewe ni full usanii!
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yakitokea mapinduzi kama ya misri huyo dogo kichwa chake halali yetu
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  nasikia magari yote ya delbit ni yao...........
   
 8. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Riz1 jamani nae Mtanzania!
  Kwanini kwenda kwake Bungeni kuwe na Maswali mengi!
  Sasa tutaanza kufikiri kwa kile alichosema Dr.Masaburi,kwani kama issue ni kusikiliza mbona hata kwenye TV angeweza!
   
 9. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Kwetu pazuuuuri nimeishapakumbuukaa.....hahah shida bana TZ kila mtu anataka kuwa FISADI
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Amejificha lakini camera ya TBC (magamba) ilimflash kabla haijaziuwa hajaonekana tena
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kwanini wanakimbia camera .... hata Al Adawi nae alikataa kupigwa picha
   
 12. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Acha chuki hizo wewe, wanasheria wana mkutano wao Dodoma (akiwem Ridhwani) na baadhi wameamua kwenda kuona bunge lifanyavyo kazi, hilo nalo kosa?
   
 13. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  achane mawazo potofu alikuwa kwenye kikao cha wanasheria wa tanganyika ndani ya udom
   
 14. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kaenda kukamilisha kazi ya Jairo coz hii ilikuwa kazi ya mamlaka kuu ila Lowasa na kundi lake wakaibumburua ili kumdhoofisha baba Riz. Sasa hivi dingi kaamua kumtuma dogo ili afanikishe na ndo mana leo magamba wamekuwa wamoja ktk ujinga wao.
   
 15. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani amefanya kosa gani? Hili ni jambo jipya? Mbona kampeni alifanya yeye tena fedha zote za chama na serikali akiidhinisha yeye kwa ajili ya uchaguzi?? Kwangu mie hili siyo jipya!!
   
 16. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  usambazaji wa bahasha kwa waheshimiwa wabunge
   
 17. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Watu mnaacha kujadili mambo yenye maslahi kwa taifa, mnamfatilia mtu binafsi na kuspeculate motives, kweli kuna baadhi ya wana JF mnatumia Masaburi kufikiri.
   
 18. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Kumbe mpo wengi mliotumwa kutetea watuhumiwa mpaka ratiba zao wanawapa kweli kushinda ufisadi tanzania ni kazi kwelikweli
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ritz= Riz1
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280

  1) man kuna tatizo gani ridhwan kwenda kusikiliza bunge! ??? kama angekuwa amejiachia kwenye seat za waheshimiwa ndio ungekuwa na haki ya kuhoji ....

  2) Data gani unazo zihitaji...?! na weye ndiye uliyemuona ?
   
Loading...