MWAKIGOBE
Member
- Nov 1, 2010
- 65
- 2
Tangu nimefika Same ni miaka sita sasa kunatatizo sugu la maji, lakini mbunge wao sijawahi kumsikia hata sikumoja ni jitihada gani atakazo au alizo zichukua kutatua tatizo hili. pia tangu uchaguzi mkuu uliopita hakjaonekana jimboni, Mheshimiwa kama unapita hapa janvini, tunaomba uwe na huruma hata kidogo, watu wa masandare, majengo, same mjini, stesheni, majevu, kiwanja tunateseka saaana