Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

President Robert Mugabe has returned home from Windhoek, Namibia, where he attended the summit of former Southern Africa liberation movements. The leaders agreed to establish a technical team...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Tanzania inaongozwa na serikali iliyochini ya CCM kama chama tawala. Natafuta majina ya watu walioichangia CCM na wagombea wake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2010. Tunapaswa kuangalia uhusiano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Binafsi sikulitegemea hili kufanywa na kijana yoyote mwenye umri chini ya miaka 40. Ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru lakini bado majority ya watanzania tumetopea kwenye lindi la...
0 Reactions
181 Replies
22K Views
Jeshi la polisi Tanzania wamechapisha kijitabu walichokiita "UZALENDO"Haki na Utii bila Shuruti............. kitabu hiki kimekuwa kikisambazwa nchi nzima na jeshi la polisi tangu CHADEMA...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
HELLO. napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Nimefanya uchunguzi kuhusu sekta ya uwekezaji nchini, nimegundua kuwa kwa kiwango kikubwa tunawalaumu wawekezaji lakini serikali yetu ndio inalea ubovu huu watu wanahamishwa ovyo katika maeneo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya uchaguzi mkuu mwaka jana, tulishuhudia malalamiko mengi ya vyama vya upinzani hususan CHADEMA juu ya uchakachuaji wa matokeo ikiwemo ngazi ya ubunge. Ni miaka minne tu sasa tunakwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati na muda wetu mwingi tunautumia kujadili vyama vya siasa na hususani udhaifu wa CCM na uimara wa CHADEMA. Kwanza lazima nikiri kwamba yote mawili yana ukweli. CCM ni dhaifu na CHADEMA ni...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Jana wakati PM akisimama ili kuokoa jahazi la Wizara ya Ardhi, alisema eti yeye ndiye mwenye jimbo la Mpanda hivyo anashangaa wabunge wengine kulisemea jimbo lake! Huu ni ulevi wa madaraka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tabia ya jamii kukumbatia familia na jamii ya Watoto wa watu waliochafua jamii,nayo imetufikisha pabaya.Wahenga walishasema mtoto wa nyoka ni nyoka.Mwalimu alituachia nguzo ya amani na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msahiki Meya wa Dar-es-Salaa, Didas Masaburi.
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Mr.President,what I am trying to say is that we are all, educated and uneducated alike,members of one society, and equal human beings in that society.We can try to cut ourselves off from our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanahalisi ya leo imeripoti kuwa kunauwezekano wa baraza la mawaziri kuvunjwa muda wowote baada ya kwisha kwa vikao vya Bunge. Kwani JK ameona kuwa halimsaidii kutatua matatizo ya wananchi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF kwasababu naona tunajadili suala la ufisadi bila kuja na suruhisho, naomba nitoe ninayoona kuwa mu-arobaini kwa kansa hii kwa taifa 1. Social Stigima [hapa napendekeza wanajamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani toka bajeti ya wizara ya nishati na madini imepita imekuwa kama hazabu kwa baadhi ya mikoa mingi hasa huku mwanza maisha ni ya shida kihalisia siku ya nne leo inaenda ya tano hakuna umeme...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
je, kuna umuhim wowote wa kuongozwa na viongozi wazalendo hasa uraisi? wagombea wengi wamekuwa wakijiita wazalendo bt at the end of the day wizi mtupu. hamuoni kuwa kuna umuhimu wa kuongozwa na...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Nikifikilia uchaguzi wa Igunga napata presha, najua CCM watatumia mbinu zozote kuhakikisha jimbo linabaki kwao, najua Rostam hatakubali kupigia kampeni CCM, kama kweli anataka watanzania...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Mara nyingi timu za kampeni zimekuwa na msukumo mkubwa katika kuhakikisha ushindi wa chaguzi mbali mbali za nafasi mbali mbali. Kama tunavyojua kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Igunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Mkutano wa leo wa chadema ulifanyika katika uwanja wa Tindigani kata ya Kimandolu ambapo ndipo anapotoka Naibu Meya Estomih Mallah aliyefukuzwa chamani. Katika mkutano huo, Mbunge wa...
36 Reactions
261 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…