Safari ya Rais Kikwete namibia ilikuwa ya chama, iweje imelipiwa na serikali? Pata habari yake... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya Rais Kikwete namibia ilikuwa ya chama, iweje imelipiwa na serikali? Pata habari yake...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VIKWAZO, Aug 13, 2011.

1. VIKWAZO

VIKWAZO JF-Expert Member

#1
Aug 13, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 1,910
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
President Robert Mugabe has returned home from Windhoek, Namibia, where he attended the summit of former Southern Africa liberation movements.

The leaders agreed to establish a technical team consisting of representatives from each party to ensure implementation of past, present and future resolutions of the liberation movements.

They also renewed their commitment to the spirit of solidarity in the improvement of the lives of their people.

The former liberation movements who attended the summit are ANC of South Africa, FRELIMO of Mozambique, MPLA of Angola, Chama Chamapinduzi of Tanzania, Zanu PF and SWAPO from the hosting nation.

Other leaders who attended the summit were Hifikepunye Pohamba of SWAPO (the hosts) Jakaya Kikwete of Chama Chamapinduzi of Tanzania, South Africa's ANC Secretary General Gwede Mentashe, Vice President of the MPLA of Angola Roberto D'almeida and Filipe Chimoi Paunde of FRELIMO, Mozambique.

[​IMG]

na mukama tulimlipia ?
hapo mbona hakuna kofia ya uraisi kuna ccm?

source: Bulawayo24 NEWS | Mugabe returns home

2. VIKWAZO

VIKWAZO JF-Expert Member

#2
Aug 13, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 1,910
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
harafu baadaye ana tweet na kusema tuwa part ya solution, kihivi ? mbona maana
wasaidizi wake hawachoki kufanya madudu maana wanayaona mambo yake anayotenda, ili ni moja
wapo kama hii habari isinge andikwa zimbabwe tusinge jua maana vyombo vyetu vya habari vimelala watu
wana kwenda kwenye vikao za kuimalisha umoja wa vyama vyao kwa kutumia kodi zetu, na vya vingine je?
Tendwa upo?

3. Iza

Iza JF-Expert Member

#3
Aug 13, 2011
Joined: Jan 8, 2009
Messages: 1,848
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
CCM inabidi waangilie upya muundo wao wa juu,hii ya sasa M/kiti (T) ndiye Rais wa JMT ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu kimajukumu,kiutendaji au kiuwajibikaji haswa kipindi hiki cha vyama vingi...

4. VIKWAZO

VIKWAZO JF-Expert Member

#4
Aug 13, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 1,910
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
ina faida kwao kamwe hawata ibadilisha, kwa unadhani ccm wanajua kwamba kuna vyama vingi?
bado wamelala na hapa watoe maelezo mambo ya raisi kutembelea kodi zetu kwa mambo ya chama sio sahihi
wakati tunawapo ruzuku kila mwezi hizo milioni 800 za ruzuku wanapeleka wapi?

5. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#5
Aug 13, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,267
Likes Received: 19,410
Trophy Points: 280
offcoursse 2015 sio mbali

6. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#6
Aug 13, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,654
Trophy Points: 280
Halafu mtu anamsaport mtu huyu,sijui anakua anatumia nini kufikiri!

7. Bishop Hiluka

Bishop Hiluka Verified User

#7
Aug 13, 2011
Joined: Aug 12, 2011
Messages: 4,100
Likes Received: 1,424
Trophy Points: 280
Hawawezi kuli-view jambo hili kwa kuwa linawasaidia katika mambo muhimu ikiwemo kubana
matumizi kama hayo ya mwenyekiti wa chama kutumia pesa za serikali.

8. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#8
Aug 13, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,654
Trophy Points: 280

Akili za namna hii,zinaturudisha nyuma!

9. B

Bajabiri JF-Expert Member

#9
Aug 13, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Oh,haya kaka!

10. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#10
Aug 13, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Ndio ulaji ulivyo,ukishakuwa prezidaa wewe mambo tambarare tuu.

11. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#11
Aug 13, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
atakuwa anatumia masaburi bila shaka.

12. GeniusBrain

GeniusBrain JF-Expert Member

#12
Aug 13, 2011
Joined: Nov 3, 2010
Messages: 4,321
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Umekosea Chadema wanaweza kushika madaraka 2051

13. Bishop Hiluka

Bishop Hiluka Verified User

#13
Aug 13, 2011
Joined: Aug 12, 2011
Messages: 4,100
Likes Received: 1,424
Trophy Points: 280
14. J

Jmpambije Member

#14
Aug 13, 2011
Joined: Apr 24, 2008
Messages: 86
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Mkuu kwa Maslahi Binafsi atasaport tu,
Kwanini asingemtuma Makamu wake wa Chama/Katibu Kumwakilisha?

15. mwaJ

mwaJ Tanzanite Member

#15
Aug 13, 2011
Joined: Sep 27, 2007
Messages: 4,076
Likes Received: 10
Trophy Points: 135

Sio suala la kutanua kwa zamu! Suala ni uadilifu katika kutumia resources za nchi. Ya ccm yabaki kuwa ya ccm na ya serikali vivyo hivyo! Hayo mambo ya kusubiri zamu ndio yanayoimaliza nchi hii maana kila mtu anapania kuiba au kuvuna ikifika zamu yake badala ya kurekebisha mifumo kwa faida ya watanzania wote.

16. RealMan

RealMan JF-Expert Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: Nov 9, 2010
Messages: 2,352
Likes Received: 160
Trophy Points: 160
JK anakaba mpaka penati, hiyo safari ilikuwa aende Katibu Mkuu tu. Ndege ya serikali ilimbeba Mukama, J Makamba na makada wengine.

Watuonyeshe receipt kama waliikodi.

17. Remote

Remote JF-Expert Member

#17
Aug 13, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,874
Likes Received: 1,561
Trophy Points: 280

wewe ni janga la kitaifa sawa na jk

18. M

MWENDAKULIMA JF-Expert Member

#18
Aug 13, 2011
Joined: Jul 17, 2009
Messages: 961
Likes Received: 23
Trophy Points: 35
GeniusBrain+Against Chadema=Upupu , hakuna la maana.Ngoja niende kulee....maandamano ya kumpinga JK U.S.A.Kwa herini bandugu

19. MwanaCBE

MwanaCBE JF-Expert Member

#19
Aug 13, 2011
Joined: Sep 23, 2009
Messages: 1,773
Likes Received: 544
Trophy Points: 280

Anatumia MASABURI..

20. chipanga

chipanga JF-Expert Member

#20
Aug 13, 2011
Joined: Sep 17, 2010
Messages: 661
Likes Received: 141
Trophy Points: 60

Mfano ni pale alipokaa kama mwenyekiti wa baraza la mawaziri akapandisha bei ya mafuta na alipokaa kama mwenyekiti wa CC ya CCM akaamuru kushusha bei ya mafuta.

Loading...