Watoto Wa Wanasiasa Kama Mtoto Kama Baba, Mtoto Wa Nyoka Ni Nyoka!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto Wa Wanasiasa Kama Mtoto Kama Baba, Mtoto Wa Nyoka Ni Nyoka!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Aug 17, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  View attachment 35494  Tabia ya jamii kukumbatia familia na jamii ya Watoto wa watu waliochafua jamii,nayo imetufikisha pabaya.Wahenga walishasema mtoto wa nyoka ni nyoka.Mwalimu alituachia nguzo ya amani na upendo.Lakini walio wachache wameichafua.

  Kama baba alikuwa muadilifu atamfundisha mtoto kuwa mwadilifu[tizama hapo juu]

  Tujuzane baadhi ya watoto na baba zao wa waliochangia kutuangusha kiamaadili.
   
Loading...