Nani aliichangia CCM na wagombea wake uchaguzi mkuu 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani aliichangia CCM na wagombea wake uchaguzi mkuu 2010?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paparazi Muwazi, Aug 17, 2011.

 1. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tanzania inaongozwa na serikali iliyochini ya CCM kama chama tawala. Natafuta majina ya watu walioichangia CCM na wagombea wake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2010. Tunapaswa kuangalia uhusiano baina ya maamuzi ya Rais Kikwete, serikali, wabunge na namna walivyoingizwa madarakani.

  PM
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  1. Rostam Aziz
  2. Edward Lowasa
  3. N.k...........
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Lilipita daftar la kuchangisha kwa wafanyabiashara wote TZ Ikiwemo mijini na vijijini usipochanga baada ya uchaguzi utajuta kutochanga maana TRA watakuandama kama hutofilisika utayumba vibaya mno na nilishuhudia kwa macho yangu
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Serikali - through Jairo formulae
  Polisi - RPCs walionesha hilo kila mkoa
  JWTZ - kupitia Shimbo
  MSAJILI WA VYAMA -Tendwa alikiri hali ilikuwa ngumu ikabidi wavunje sheria na kanuni
  TBC< DAILY NEWS (magambas)
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  CCM ni mafia hakuna mtanzania ambae ana uhakika 100% kuwa hakuichangia CCM, mfano ukinunua mafuta umechangia CCM watumiaji wa simu walichangia sana bila kujua siku za mwisho wa kampeni kuna thread ililetwa hapa JF jinsi ya kujiondoa hizo ni baadhi ya sehemu ambayo watanzania walikuwa wakiichangia CCM...
   
 6. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Wanavyuo UDOM na Dodoma kwa ujumla. Alaf wanajamvi nimepata taarifa za uhakika kuwa katibu wa CCM CBE DODOMA kashindwa kufanya mitihani ya kumaliza chuo kwa kukosa ada, huyu katibu anaitwa Buberwa aka Chino.
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu hata slaa alichangia kwani kama asingekuwa padre angalau angepata kura kutoka kwa wale wenzetu lakini alikuwa anawakilisha kundi moja katika jamii. kwa hiyo hao watu waliacha hata kuwapigia vipenzi vyao wakawapigia kura magamba.
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tulichangia kupitia simu zetu kwa kukatwa 500 kwa kila sms.
   
 9. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wauza mafuta walichangia
   
Loading...