Pinda ni kiongozi si mmiliki wa jimbo la mpanda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda ni kiongozi si mmiliki wa jimbo la mpanda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchakachuaji, Aug 17, 2011.

 1. m

  mchakachuaji Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana wakati PM akisimama ili kuokoa jahazi la Wizara ya Ardhi, alisema eti yeye ndiye mwenye jimbo la Mpanda hivyo anashangaa wabunge wengine kulisemea jimbo lake! Huu ni ulevi wa madaraka na anatakiwa ajue ardhi ni mali ya umma na hana mamlaka ya kumnyima mtu yeyote kulisemea jimbo lake na siyo tu katika ishu ya ardhi bali pia katika jambo lolote lihusulo maslahi ya Taifa.
   
Loading...