Mwanza siku ya nne hakuna umeme kabisa si asubuhi si usiku!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza siku ya nne hakuna umeme kabisa si asubuhi si usiku!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kessy kyomo, Aug 17, 2011.

 1. kessy kyomo

  kessy kyomo Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Jamani toka bajeti ya wizara ya nishati na madini imepita imekuwa kama hazabu kwa baadhi ya mikoa mingi hasa huku mwanza maisha ni ya shida kihalisia siku ya nne leo inaenda ya tano hakuna umeme ni balaa tu maji nayo ni ya shida kwani mitambo ya kuvuta maji ziwani inategemea umeme, watu tunaoga ziwani na unatakiwa kuoga kwa timeing ukijisahau tu umeliwa na mamba, tukielekea kwenye miangaiko ukifika huko napo matatizo matupu jenereta hazifanyi kazi mafuta yamepanda bei tunabaki kupiga story tu sijui hali ya mikoa mingine wenzet wanaishije,kwa kweli hali hii inatisha ndugu zetu watanzania sisi wamjini tunaishi hivi je wavijijini wanaishi vipi miaka hamsini ya uhuru nchi inategemea mvua hili kuzalisha umeme hii ni hatari wajameni inaamaana hii bajeti imepitishwa kwa makusudi ili kutukomoa sisi wananchi nauliza ndugu wadau?
   
Loading...