Jukwa la siasa

jamal_tanga

Member
Jan 8, 2011
15
0
HELLO. napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia
 
Ni mawazo ya ovyo kabisa,hivi hayo mawazo yua vita mnayatoa wapi au na ww ukipandikizwa upuuzi kidogo tu mawazo yako yanahama bila kuchanganua
hivi vyama vya upinzani kama chadema:
wanamiliki silaha??????
wanashika dola??????
au hiyo vita mtapigana na uganda tena????
 
HELLO. napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia

yaani haupo makini kabisa .....
 
HELLO. napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia

Sijalazimishwa kuchangia, ngoja nipite tuu
 
Huyu nae anauhuru wa kutoa maoni, lakini anapaswa kufikiri kabla ya kutoa maoni tumuangalie pia
Join Date : 8th January 2011

Posts : 15
Rep Power : 0.

Bado mtoto akikua ataacha

hello. Napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia
nani aungane na wezi! Ikitokea nahama nchi nikuachie wewe mkimbizi
 
HELLO. napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia
Anajifunza kupost topics,msimshambulie sana!kesho,keshokutwa atakuwa mzuri tu!
 
HELLO. napenda nitoe ushauri waa vyama vyote tungane ccm chadema tunge serekali ya mungano wa kitaifa ili tanzania yetu indembele bila vita tusije tukawa kama somalia

Hapa si sehemu ya masihara....mawazo yako mepesi na fikra zako finyu peleka majukwaa kama FACEBOOK na kwingine....
 
Back
Top Bottom