Dawa ya Ufisadi hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya Ufisadi hii hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchongi, Aug 17, 2011.

 1. m

  mchongi Senior Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF kwasababu naona tunajadili suala la ufisadi bila kuja na suruhisho, naomba nitoe ninayoona kuwa mu-arobaini kwa kansa hii kwa taifa
  1. Social Stigima [hapa napendekeza wanajamii wote tuwasusie mafisadi iwe misiba, harusi, hata salamu. maana kwa kufanya hv hawawezi kushtaki mahakamani. mpaka wajitokeze mbele ya umma kuomba radhi. yaani watu tuchukie rushwa toka moyoni na si majukwaani]

  2. Constitutional Changes [hapa namaanisha katiba na sheria nyingine zije na makali ya aina yake japo kwa kipindi fulani ili kuweka house in order tuwe kama china anaetiwa hatiani kwa wizi wa pesa za umma au ufisadi wa aina yoyote ANYONGWE. na hii iendane na kufutwa/ punguza kinga za viongozi waandamizi na kulegeza masharti ya mashitaka]

  3. Institutional Changes [hapa namaanisha uwepo wa taasisi huru kama TAKUKURU, ofisi ya mthibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, jeshi la police, usalama wa taifa, tume ya taifa ya uchaguzi e.t.c ongezeko la wizi wa mali ya umma unachangiwa sana na ulegevu wa makusudi au kimkakati wa taasisi hizi nyeti kwa ustawi wa nchi

  4. Naomba endelezeni kutaja hapo nilipoishia maana nina hasira sana na hali ya mambo utadhani taifa hili halina wasomi wala watu wenye upeo wa mambo......
  Karibu wadau
   
Loading...