Nimemkubali Sitta, ni mwanasiasa anayejua Siasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemkubali Sitta, ni mwanasiasa anayejua Siasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LATTICE BOND, Aug 19, 2011.

 1. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sita kanikuna jinsi alivyomjibu mbunge Mmoja kutoka Zanzibar kuhusu ushiriki wa Zanzibar kwenye masuala ya A/mashariki. Kasema hivi:-
  Mikataba ya kimataifa inaingiwa kati ya Taifa na Taifa na si nchi na nchi. Tanzania inaingia Afrika Mashariki kama Taifa si Nchi. Tanzania ni ushiriki wa Wa Nchi za Tanganyika na Zanzibar kwa hiyo hatuwezi ku-double standard!
  Yule mbunge kaishia kuhalalisha kwamba Wanzibar na Baganda wanaweza kuja leta mpasuko maana wanahitaji watambuliwe kama mwanachama mwenye Nguvu kama ili Tanzania au Kenya!!

  I LOVED THE WAY THIS GUY RESPONDED TO THE QUESTION BECAUSE IT WAS A TOTAL POLITIC!!
   
Loading...