Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Wadau, katika utawala wa Nyerere fedha zilizokuwa kwenye mzunguko nchini zilikuwa backed up na GOLD RESERVE pale benki kuu. Hii ilimanisha kuwa kama kwenye mzunguko kulikuwa na trioni 10 basi benki kuu palikuwa na dhahabu yenye thamani kama hiyo.
Baada ya mageuzi ya uchumi ya kuanzia kwa Mzee Mwinyi na baadaye Mkapa tuliondoka kwenye GOLD based currency na kuanza mfumo wa PAPER MONEY ambao maana yake ni kwamba benki kuu inaweza ku-print fedha kadri ya mahitaji ya serikali na hii ni mojawapo ya sababu ya fedha kupoteza thamani.
Naomba kuuliza kama kuna mtu anajua hii reserve iliuzwa lini? na kama haijauzwa mpaka sasa tuna dhahabu za thamani gani pale BOT??