Hivi chadema wanamuogopea nini shibuda

kamanzi

Senior Member
Oct 28, 2007
100
23
KWa mara nyingine, Leo tarehe 19 August, 2011, John Shibuda ameamua kuitukana tena CHADEMA. Anaiita chama masilahi, na uongozi wake ni wa kidikteta. Nauliza, CHADEMA wanamuogopea nini hata wanamuacha anawachafua kiasi hiki? Hivi wakimwaga watakosa nini? Angalia hii link hapo chini ujionee upupu wake.

Last edited by a moderator:
kamanzi, Sidhani kama wanamuogopa, nadhani wanamvutia muda tu,
kumbuka pindi wakiamua kumjibu watazidi kumpa umaarufu.
Hebu jiulize, wewe ungekuwa kiongozi wa Chadema ungefanya nini
maana kujibishana na Shibuda ni kama mfano huu hapa chini:

Ukiwa unaoga mtoni akaja chizi akachukua nguo zako
na kukimbia nazo, utafanya nini?
(a) utatoka uchi na kumbikiza?
(b) utabaki kwenye maji ukitafakari namna ya kujinasua na balaa hilo?
(c) utapiga kelele watu waje kukusaidia?
 
Jamani hebu tujadilini hoja za maana,tumechoka na habari za huyu Shibuda, kila mtu mwenye akili ameshamuelewa Shibuda kuwa ni mropokaji
halafu mtu mwenyewe siyo riziki, achaneni naye. Dawa ya Boflo kama lile ni kulipotezea tu kumjadili saaana mnampa kichwa .
 
Shibuda ni mtaji wa chadema,wasimfukuze wamuache tu apayuke hadi achoke,kikubwa kuwa watu washamuelewa ni mtu wa aina gani.
 
shibuda ni mtaji wa chadema,wasimfukuze wamuache tu apayuke hadi achoke,kikubwa kuwa watu washamuelewa ni mtu wa aina gani.
hakuna kumwachia huyu sema mimi na wewe hatupatani kwenye hiyo avatar yako!
 
KWa mara nyingine, Leo tarehe 19 August, 2011, John Shibuda ameamua kuitukana tena CHADEMA. Anaiita chama masilahi, na uongozi wake ni wa kidikteta. Nauliza, CHADEMA wanamuogopea nini hata wanamuacha anawachafua kiasi hiki? Hivi wakimwaga watakosa nini? Angalia hii link hapo chini ujionee upupu wake.

Shibuda huyooo NCCR MAGEUZI.KAMA HII NI KWELI NI WAZI CDM INATAKIWA KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU YA KUMUONDOA MAPEMA. KWANI ATAKUWA KAMA CCJ NA SITA
SOURCE. NIMEONA KWA MDAU WA CCM
Malaria sugu wa Ukweli
 
Last edited by a moderator:
KWa mara nyingine, Leo tarehe 19 August, 2011, John Shibuda ameamua kuitukana tena CHADEMA. Anaiita chama masilahi, na uongozi wake ni wa kidikteta. Nauliza, CHADEMA wanamuogopea nini hata wanamuacha anawachafua kiasi hiki? Hivi wakimwaga watakosa nini? Angalia hii link hapo chini ujionee upupu wake.

Hawamuogopi, CHadema kuna wanasheria, hivyo hawawezi kukurupuka. Ukikurupuka utaaibika. I can imagine ukimpeleka mahakamani akakushinda itakuwa kiama. Let him say those words in Kariakoo, you will see that CDM is not afraid of him.
 
Last edited by a moderator:
huyu bwana hana jipya wamwache tu ni mpuuzi!

Si hayo tu ni kigeugeu, alifikiri akija cdm atapata umaarufu kama walionao akiza Zitto na wengine hivyo ni umaarufu tu anatafuta huyo wakati sisi tunaangalia mambo ya maana. Jamani viongozi wa cdm mpuuzeni au mkiona vipi mu mmwage tu, asiwazingue.
 
Ngoja waendelee kumlia timing. Wala asiwaumize vichwa atajakula maneno yake.
 
Jamaa ni mgonjwa huwa hana mwezi mchanga toka utotoni hivi huwa amumuoni akiwa anachangi huwa anakalatasi zaidi ya limu nzima na kalatasi hizo huwa hazina mandishi lakini yeye uonekana kama anazisoma sisi watu wa maswa tushamzoea mwehu wetu mzoeni jamah.
 
kwa nini msijadili hoja zake na kumuuliza mnataka kumhukumu kwa ujumla? kama anadai kuna viongozi maslahi na udikteta kwa nini asipewe nafasi kuthibitisha madai yake? si huo ndo udikteta wenyewe?
mnatetea tu bila kuangalia hoja, lazima kuwe na check and balance, viongozi wa chadema sio miungu, la sivyo itakuwa kama CCM kwa kufikiri kuwa wao hawawezi kukosolewa, who r they? lazima kuwe na haki na naona mnapoendelea hata shibuda mtamuua kama Wangwe na SHELEMBI.
 
Back
Top Bottom