Uchaguzi igunga;-CHADEMA mikononi mwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi igunga;-CHADEMA mikononi mwa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Aug 19, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wakuu,

  Ni kipindi sasa tumekuwa tukifuatilia muelekeo wa uchaguzi kule igunga baada ya GAMBA kuu kuvuka na tayari jana vyama vikubwa vya siasa vimefanya kura zake za maoni...

  Cha kufurahisha ni taarifa za kiintelijensia kuwa wajumbe wa CDM wamekubali kumchagua bw. Joseph Kashindye ambaye kwa kipindi chote kabla ya uchaguzi huu mdogo amekuwa akimuhakikishia rostam aziz anapita bila kupingwa kwa kutumia nafasi yake ya uratibu wa elimu wa wilaya kwa kumtengenezea network imara ya walimu..

  Swali gumu ambalo wana chadema wanatakiwa kujiuliza kama huyo jamaa anakubalika kwa nini sasa alikiacha chama kikashindwa kusimamisha mgombea katika uchaguzi mkuu uliopita, ukweli ni kwamba huyu jamaa ni swahiba mkubwa wa mgombea aliyenunuliwa na rostam mwaka jana na kuacha kusimamisha mgombea...


  TAHADHARI.
  Wakati wana CHADEMA tunahaha kutafuta jinsi ya kumzuia bwana SHIBUDA kutualibia chama chetu leo namwona SHIBUDA mwingine anayekuja kwa upande wa pili tena afadhali SHIBUDA yeye alifanikiwa kukabidhi kadi ya magamba kwa CDM mbele ya Kamanda MBOWE kuliko huyu mbunge mtarajiwa ambaye magamba yanatamba kuwa ni mali yao na tayari wameshamaliza kazi ...

  wana Igunga wanakumbuka jinsi bw. Kashindye alivyokuwa akifanya vikao na walimu wa shule za msingi kipindi Dr Slaa anagombea urais kwa kutumia nafasi ya uratibu/ukaguzi kuwashawishi walimu wasimuunge mkono KWA KUWA AMEPORA MKE WA MTU (JOSEPHINE MSHUMBUSHI) na kwamba hana sifa za kuwa FIRST LADY kwa kudai eti naye ni mwizi wa mume wa mtu...eti ni UFISADI WA MAPENZI..Kazi ambayo KASHNDYE aliifanya kwa maelekezo ya Rostam ili kumsaidia baba ridhiwani ashinde.

  swali lingine ni kwamba ni lini aliwahi kujitokeza hadharani kuomba radhi ama kukanusha hizi tuhuma zilizojaa midomoni mwa wadau wanaoitakia heri Igunga?... wakati tunasubiri kuona nini hatma ya matokeo ya mchakato huu wa kufurahisha...
  Naanza kuliona ANGUKO KUU LA CHADEMA IGUNGA....

  Kweli CCM NI KIBOKO YAO!!!!!!....​

  WAKUU TUWAOMBEE DUA CHADEMA WAVUKE SALAMA NGWE HII...


  Kutoka kwa watazamaji tulio nje ya eneo la tukio, naomba kuwasilisha.
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Yangu macho na masikio!kweli km uyasemayo ni kweli basi jamaa hafai kuwa cdm!ila ninachoamin cdm ni chama makini isiyofanya kazi kwa kukurupuka!Ngonja tuwasikilize na tusubiri watasemaje
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  kifochamende, don't be too pessimistic in life.
  Kwanini kila mara ufikirie kusalitiwa tu. Jipe moyo
  kila kitu kinawezekana...
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Yetu macho
   
 5. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Sitamshangaa Mwl Kashindye kubadili uamuzi na kuamua kuingia Chadema kwa hali na mali mpaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho...kwani ni mengi yametokea tangu Kashindye alipokuwa anapiga kampeni dhidi ya Chadema, mpaka sasa anapojiunga na Chadema... waTanzania wote ni mashaidi wa hili. Naona umeongea kama vile Mwl Kashindye alizaliwa na CCM hivyi hawezi badilika!
   
 6. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama uko nje ya IGUNGA umeyajuaje yote haya? au ndo walewale wa kwenye payroll ya hila?
  IGUNGA ni ya wanaIgunga, tuwaunge mkono kumpata Mbunge bora na Mbunge bora atatoka CDM kwa sababu zilizo wazi kabisa,CCM hata angekuwa bora vipi haruhusiwi kusema au kuwasemea wananchi mpaka Nape and team wawaambie cha kusema. Wabunge wa CCM leo wanagonga meza kama mwenzao anapinga ufisadi, na pia wanagonga meza mwenzao akiunga mkono ufisadi...sisi wananchi hatuwaelewi kabisa! wameshasikia kunaweza kuwepo mabadiliko ya baraza la mawaziri, basi kila mbunge anajifanya waziri kuitetea serikali ili mkulu amwone,bahati mbaya mkulu hawaoni sasa ila tayari huwa analist yake ndefu ya kulipa fadhila....siyo sawa hata kidogo
   
 7. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 875
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  ..haihitaji ujuzi, uzoefu au hata kukaa igunga kujua km CDM candidate ni material au si material, kwa nature ya kazi yake ya uratibu na vile siasa za tanzania zilivyo hasa vijijini km igunga..this person is not one to be trusted! labda km CDM wataamua kusindikiza uchaguzi ni sawa!wamwache asimame kugombea...
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hahaaa! habari za kweli hizo?

  makamanda msipate hofu chadema tupo makini kuna top three acheni CC ifanye kazi kwani kuna joseph kashindye, mwana mama isabela maganga makeremo na juma wambura chacha. Kamanda joseph kashindye sio mgombea rasmi ila ameongoza kura za maoni.

  hatulali mpaka kieleweke
   
 9. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  igunga ni kipimo tosha kwa vyama vyote ... na pia ni kipimo aina ya watu watakaosimama kwa chama ..
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kama matokeo hayatachakachuliwa!
   
 11. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  teh teh teh...... na wewe gamba nini?.
  yawezekana magamba mmeamua kutuvuruga...kama kweli huyo jamaa aliyoambiwa kafanya basi CDM yawapasa wafanye maamuzi magumu
   
 12. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  lakini ni vyema kukawa na mgombea thabiti ambaye anakubalika na si mradi kuna mgombea kwani hata kuchakachua ni rahisi
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145

  ndugu yangu una dhamira ya siri nini?..au wewe ni miongoni mwa hao magamba wanaotamba kuwa wameshamaliza kazi?...
  narudia tena kama yaliyosemwa na mtoa hoja ni kweli basi ni lazima chama kichunguze kikamilifu....
  nawafahamu vizuri viongozi CDM wanaweza kukivusha salama chama.
  kujua informations sio lazima uwe ndani ndo maana hata KAMANDA Dkt SLAA anatoaga mabomu ya baraza la mawaziri na serikali wakati yeye sio mjumbe.....
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hahahaaaaa

  Hebu nenda tena kwenye shule ya usanii mkuu. I think you are missing very important ingredients kuwa msanii japo mdogomdogo..
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Bishop...tumejipa moyo vya kutosha ndugu yangu ila kwa sasa ni lazima tuwe na tahadhari bana...yawezekana kuna kitu ndani ya kapeti hapo...
   
 16. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Labda nianze kuthibitisha usanii wako; huwezi kumlaumu huyo jamaa kuwa alishindwa kuitetea CDM uchaguzi uliopita, wakati hata wengine wote waliojitokeza sasa (zaidi ya 10), nao hawakujitokeza uchaguzi uliopita... Kwa nini umlaumu yeye tu?
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  shetani kuwatakia heri malaika ni ajabu ya dunia!!!!!!!
   
 18. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  siku zote hakuna huwa kuna walakini
   
 19. F

  Froida JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Kweli JF kuna Great Thinkers umeona mbali kweli tujiulize kwa nini huyo tuu
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
   
Loading...