Mama Shelukindo kaamua kumwaga mboga na ugali

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Huyu mama namkubali sana, hamumunyi maneno, Chanachana mbaya Luhanjo, kumbe kajaza wabena wasio na sifa Maliasili na mbaya zaidi yule mkurugenzi wa wanyamapori ni mbena na sifa hana mama kamwambia waazi kabisa amtoe na aache tabia yake ya kuweka watu, kumbe wale wanyama 116 na dege la jeshi Quatar ni maagizo tu. Tuambiwe tu ilikuwa zawadi kwa nani, Ni mimi Violet Luhanjo afisa sheria BOT usiulize tangazo la kazi kwani ulifikiri ni nafasi yako?
 
Huyu mama namkubali sana, hamumunyi maneno, Chanachana mbaya Luhanjo, kumbe kajaza wabena wasio na sifa Maliasili na mbaya zaidi yule mkurugenzi wa wanyamapori ni mbena na sifa hana mama kamwambia waazi kabisa amtoe na aache tabia yake ya kuweka watu, kumbe wale wanyama 116 na dege la jeshi Quatar ni maagizo tu. Tuambiwe tu ilikuwa zawadi kwa nani. Ni mimi Violet Luhanjo afisa sheria BOT usiulize tangazo la kazi kwani ulifikiri ni nafasi yako?
Kanyimwa bahasha ndo mana anafichua mambo yao pia hafanyi hivyo kwa maslahi ya umma hapo anampigia mtu debe hujui magamba yameanza kumeguka kisa kila mmoja anataka kushika nchi ili aibe zaidi ole wao siku zao zinahesabika
 
  • Thanks
Reactions: FJM
She is more of a siren and full of untoward intents. Apparently she holds grudges following her hubby's yesteryear's elections defeat, and attempts to vent her spleen by vilifying JK's government image in reprisal. However her malign attitude poses no detriment to the welfare of JK.
 
duh kweli ukistajabu ya musa.............sasa mama shelukindo hivi vitu unavijua siku nyingi au baasiii tu..........
 
Huyu mama namkubali sana, hamumunyi maneno, Chanachana mbaya Luhanjo, kumbe kajaza wabena wasio na sifa Maliasili na mbaya zaidi yule mkurugenzi wa wanyamapori ni mbena na sifa hana mama kamwambia waazi kabisa amtoe na aache tabia yake ya kuweka watu, kumbe wale wanyama 116 na dege la jeshi Quatar ni maagizo tu. Tuambiwe tu ilikuwa zawadi kwa nani. Ni mimi Violet Luhanjo afisa sheria BOT usiulize tangazo la kazi kwani ulifikiri ni nafasi yako?

@Mjenda Chilo, naomba kama inawezekana, tuandikie full story, alisema nini huyu Mh Beatrice Shellukindo. Hili swala la ndege ya kijeshi kuchukuwa wanyama ni aibu kwa taifa hivyo tafadhali tupe habari kamili.
 
Kweli???????, no detriment????? Step into his shoes uwe wewe ndo Rais na anayepigwa madongo ni principal secretary wako ambaye kiutendaji huyu ndo mtendaji mkuu achana na wanasiasa kama PM na mawaziri, bado sio detrimental? tena wa chama chako? come 2015 come!
 
Pu..... samahani Mods maana hasira inanipanda na hivi nio karibu na morani.m hii serikali "legelege" inashindwa hata na wauza mafuta ni wizi mtupu
 
Mama kaanza na hiyo taarifa ya wanyama kwamba sio wizi, lazima ni kitu ambacho kiko planed akaenda mbali kwamba sio na mamlaka ndogo lazima kuna mikono ya juu. Akasisitiza idara ya wanyamapori ambayo ndo inahusika na hii kashfa imepangwa kikabila huyu mkurugenzi alikuwa anakaimu kwenye idara ya uwindaji baada ya wizi kawa mkurugenzi wa wanyamapori (promotion).

Huyu ni mbena kuna jamaa mwingine WWF mbena naibu mkurugenzi mbena na mkurugenzi gani sijui tena nae mbena, mama kasema anajua aliyewaweka na yeye aliyewaweka ambaye yuko juu anajijua na anamsikia akamwambia aaaaaache hiyo tabia, kwani ukiacha ubena wao hawana sifa. watu wenye sifa wanapigwa benchi wanaletwa wabena wanachukua nafasi.

Ole sendeka nae hajamumunya maneno kamwambia mama makinda wote wa kwenu hukohuko. In short mama kafunguka kama alivyofunguka kwa Jairo. Maige naona moja haikai mbili haikai ana wasiwasi kama hajiamini. Kumbuka Luhanjo alikuwa KM maliasili kabla ya kwenda foreign. Kwa mjadala unaoendelea nahisi kuna watu watang'oka
 
She is more of a siren and full of untoward intents. Apparently she holds grudges following her hubby's yesteryear's elections defeat, and attempts to vent her spleen by vilifying JK's government image in reprisal. However her malign attitude poses no detriment to the welfare of JK.

asante mkuu.. zote ni commments tu... nimefuatila sana comments zako unazoandika kiingereza nikagundua kuwa huandiki kiiingerza cha kisomi ( cha kucommunicate ) bali unaleta mambo ya english course tu hapa jamvini kwa kujifanya unaandika mabombastiki. unaleta enzi za debate za sekondarim,ilikuwa ukionge vingereza vigumu watu wanafikiri kwamba wewe ndo mjuajji... after all hata comments zako ni za ajabuajabu tu,hazina mshiko!!!!!
 
Mama kaanza na hiyo taarifa ya wanyama kwamba sio wizi, lazima ni kitu ambacho kiko planed akaenda mbali kwamba sio na mamlaka ndogo lazima kuna mikono ya juu. Akasisitiza idara ya wanyamapori ambayo ndo inahusika na hii kashfa imepangwa kikabila huyu mkurugenzi alikuwa anakaimu kwenye idara ya uwindaji baada ya wizi kawa mkurugenzi wa wanyamapori (promotion).

Huyu ni mbena kuna jamaa mwingine WWF mbena naibu mkurugenzi mbena na mkurugenzi gani sijui tena nae mbena, mama kasema anajua aliyewaweka na yeye aliyewaweka ambaye yuko juu anajijua na anamsikia akamwambia aaaaaache hiyo tabia, kwani ukiacha ubena wao hawana sifa. watu wenye sifa wanapigwa benchi wanaletwa wabena wanachukua nafasi.

Ole sendeka nae hajamumunya maneno kamwambia mama makinda wote wa kwenu hukohuko. In short mama kafunguka kama alivyofunguka kwa Jairo. Maige naona moja haikai mbili haikai ana wasiwasi kama hajiamini. Kumbuka Luhanjo alikuwa KM maliasili kabla ya kwenda foreign. Kwa mjadala unaoendelea nahisi kuna watu watang'oka
Shukrani mkuu kwa taarifa nzuri. Hivi huyu Luhanjo sio ndio umri wake wa kustaafu unavutika kwa bazoka? Ni lini atafikisha umri wa miaka 60 kwa hii new theory ya elasticity?
 
Hang'oki mtu hapo, katika serikali ya CCM hakuna msamiati wa kung'oka/kufukuzwa kwa maslahi ya umma.....stuka mkuu! Upo dunia gani wewe?
 
Back
Top Bottom