Bunge: Hatamaye utaratibu wa bunge kukaa kama kamati umeparanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge: Hatamaye utaratibu wa bunge kukaa kama kamati umeparanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Aug 19, 2011.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamani nifuatilia kwa makini na kuona spika asipokuwa makini wabunge hawajadili tena bajeti kama kamati.

  Kwa nini!

  Dhana ya bunge kama kamati ni kupitia kifungu kimoja hadi kingine kuangalia kila kama kuna mapungufu, ya mafungu ya hela au kilichobangwa.

  Cha ajabu wabunge wengi siku hizi badala ya kufanya hivyo wanasimama wote kwenye kifungu 10001. Ambo inasemekana kulingana na taratibu kipo kwa ajili ya kumuuliza waziri maswali ya sera tu.

  Lakini pia wabunge wengi wanaouliza maswali ambayo hayapo kwenye hoja husika matokeo yake hoja husika haipata muda muafaka unaotakiwa...

  Mimi inanisikitisha sana... maana Spika asipokuwa makini ndio mijadala inapoteza dira hivyo.
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  ""......amechaguliwa kwa sababu ya uwezo, uzoefu na umakini wake...."" hii ilikuwa ni sehemu ya pongezi kutoka kwa Rais dikteta Kikwete
   
 3. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani waliosema ndio wameshinda
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wangapi wanasema ndiyo?...... Magambaaaa.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ikiwa Kikwete ni dikteta Nyerere utamuitaje?

  Nna uhakika jibu ni Mtakatifu! lakini nasubiri.
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  sasa kama unajua jibu unauliza ili iweje? ***** wewe!
   
 7. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  atamwita Julius.
   
Loading...