Kiongozi wa serikali ambaye si mla rushwa Please Stand Up!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa serikali ambaye si mla rushwa Please Stand Up!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Aug 19, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Je kuna kiongozi Tanzania ambaye si mla rushwa!!! na kama yupo ni kwanini asisimame mbele ya wananchi na kusema anasikitishwa na wenzake wala rushwa!!. Ubinafsi wa Tanzania umefikia kiwango cha ajabu kiasi kwamba hata kama mtu unaenda kusaidia Tanzania na pesa ya msaada vijijini unaambiwa utoe rushwa ili uweze kusaidia.

  Hapa USA kuna watu wengi nimekutana nao Watanzania wameshindwa kusaidia kwenye program tofauti kwasababu ya kuombwa pesa ya misaada na kwasababu pesa si yao na wana nia nzuri wameamua kuacha projects ili wasije wakaharibu majina yao. Hii inasikitisha sana maana hatujui tufanye nini sasa kusaidia!!!.

  Mimi naomba kama kuna kiongozi hali rushwa asimame na kusema hadharani kwamba mimi ni kiongozi wa serikali na sijawahi na sili rushwa!
   
Loading...