Alinistua sana! Nasema Alinistua sana! Eti akiwa Jaji Mkuu, Mh. Augustino Ramadhani alipewa maagizo ya kutoa hukumu na "Wakubwa" ili iende kwa jinsi wanavyotaka wao ni kwa kuzingatia Weledi wa...
Jana ITV nimesikiliza mdahalo uliokuwa ukiilenga Tanzania katika miaka 50 ijayo mmoja wa wageni waaliikwa alikuwa waziri mkuu wa zamani ndg Cleopa Msuya. Katika moja ya hoja zake ilionekana ni...
Jana nilishangaa sana kwa wabunge wa CUF na CCM wakimshambulia Tundu Lisu kwa matusi na kejeli nyingi.
Naomba watanzania wote tuungane tu jadili kwa kina swala hili na sio kukurupuka tu na...
Ni kawaida kwa mtoto kujifunza kutoka kwa mkubwa wake (imitation) au kwa kuiga kutoka kwa yule ampendaye (modelling)...
Hv kwa hawa wanasiasa wetu tunajifunza nini...! Kwa mfano: Inashangaza...
Mh. Pinda ameulizwa swali la msingi kabisa kutoka kwa Mh. Mbowe leo hii katika kipindi cha maswali na majibu, je ? uoni kuwa tume ya bunge itakayoundwa itashindwa kufanya kazi kwa sababu Jairo...
Naomba MODs neno "General Politics" mlibadirishe liitwe Duru za Siasa. Nina sababu
1. Lugha yetu nzuri ya kiswahili
2. Mijadala "Threads" nyingi zinajadiliwa kiswahili hata kama msisitizo...
Kwa jinsi ilivyo inaonesha wazi kwamba serikali kwa kushirikiana na TANESCO wamekuwa wakiuhadaa umma kuhusiana na suala zima la upatikanaji wa umeme. Mbaya zaidi, hivi sasa hadaa hizi zinafanywa...
Kiukweli kwa uhalisia wa wananchi wa uganda wanaona Bongo ni bonge la nchi lenye maendeleo.
Jaman hivi ni kweli kuna mabadiliko yanayokufanya usifie tangu Kikwete adake nchi? Tuondoe shida za...
wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa...
Tundu Lissu alikuja na mkakati mzito wa kumshataki Spika Anne Makinda kwenye Kamati ya Maadili kwa kitendo chake cha kumzuia asijibiwe swali alilomuuliza Waziri Mkuu kuhusu mauaji a Nyamongo...
Ilikuondoa uozo Serikalini uarakishe maandalizi ya katiba mpya na uitishe uchaguzi kabla ya 2015 na unaweza kugombea tena kwa kuwa TZ inazaliwa upya.Hii itakusaidia kujitenga na wanafiki katika...
Huyu jamaa kwa ukali anaoendelea nao ndani ya bunge, kwa kitendo cha kupinga sera na itikadi za ccm, na kutetea maslahi ya wananchi wa Nzega, hatadumu. Nawaambieni 2015 watamfanya walichomfanya...
Wadau nimefarijika sana na habari kuwa bwana JK amemsimamisha kazi rafiki yake Jairo kwanini na Ngeleja asimfuate?kitendo cha yeye kwenda kumpokea na kumkumbatia ni kulidhalilisha bunge, waziri...
Ndugu zangu leo naungama hali ya kuwa nimefunga ramadhani ya 25, huu ninaosema ni ukweli mtupu mimi ni kijana wa miaka 22 najua mtashangazwa vp niliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa 2005...
Kwa wale wadau wanaofutilia mchakato wa katiba mpya, leo Deus Kibamba amezindua kitabu cha mwongozo wa katiba kwa raia pale habari maelezo. Nakala zinapatikana bure kutoka policy forum pamoja na...
Mheshimiwa Tundu Lissu umetetea kwa nguvu kubwa bungeni kuhusu jengo la Mahakama kuu ya nchi. Hata hivyo inaelekea hukusikilizwa na upo uwezekano Tanzania kama Taifa huru tukajengewa jengo la...
Niliwaona wafanyakazi wa Wizara ya Nishati Madini wakisukuma Gari ya Jairo na kuimba kama wako kwenye harusi wakati ni muda wa kazi.Kwanini wasisimamishwe au kukatwa mishahara yao kwa kugeuza...
Naangalia tv hapa ni kichekesho.Wanaonekana baadhi ya wanakijiji wa Shela Urambo wakidai kwamba hakuna nyumba iliyochomwa moto kama Mh.Magdalene Sakaya mbunge viti maalumu Urambo-CUF alivyoelezea...
Naomba kwa yeyote mwenye kopi ya 'filamu ya mapanki' ijulikanayo kama DARWINS NIGHTMARE anipatie na mimi nitoe kopi ili niiangalie, sijawahi kuiona....!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.