Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baraza la mawaziri ‘kuvunjwa Na Saed Kubenea - Imechapwa 17 August 2011 RAIS Jakaya Kikwete anaweza kuvunja baraza la mawaziri wakati wowote, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa zinasema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya ni maneno(Maoni) ya muhariri wa gazeti la Rai la leo tarehe 25-31,2011(DEODATUS BALILE) Namnukuu paragrafu ya mwisho "Tuseme tu kwamba mambo haya ya funikafunika yana gharama zake mbele ya...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
na Grace Macha, Arusha MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ametoa ufafanuzi kuwa Gervas Mgonja si katibu wake kama ilivyodaiwa na vyombo vya habari kwani alishamuachisha kazi tangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu - Mwanahalisi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga mkoani Tabora, kikiwa kimekatika vipande viwili, imefahamika. Taarifa za ndani ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa JF members, mie ndo kwanza najiunga katika ulimwengu huu adimu but very crucial for today. Jamani ninauchungu sana na hawa wanaokiuka maneno ya mwl. nyerere baba wa taifa ya watu kuiweka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naibu Spika ametangaza kuundwa kwa Tume(Kamati) Teule ya Bunge kuchunguza mchakato wa kurudishwa kwa Jairo kazini na kudhalilishwa kwa Waziri Mkuu pamoja na Bunge kulikofanywa na Katibu Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho. =========== UPDATES: Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo Anasema taasisi za Wizara...
19 Reactions
420 Replies
35K Views
Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena: Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia gazeti la Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga yeye picha akiwa...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Leo Rais Mwai Kaibaki na Raila Odinga wamekubaliana kuwaondoa mawaziri wanaoonekana kuanza kampeni za urais 2012, ambao wote wanetoke chama cha ODM akiwemo mshakiwa wa ICC Mh William Ruto. Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Mbunge wa Nzega ccm, Hamisi Kingwangala ameituhumu serikali ya Chama chake bungeni, kuwa imeikatia huduma ya maji familia ya baba wa Taifa Mwl jK Nyerere kwa miezi 7 sasa. Alihoji kama serikali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wabunge wa CCM ni Ze comedy? Baada ya Mbunge wa Kilindi Chama Cha Magamba (CCM), Beatrice Shellukindo kumtuhum Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo. Bwana jailo alijibu tuhuma...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Sisi ni watu wa ajabu sana. Kwa sisi namaanisha watanzania. Najiuliza; Dowans! Tumesahau! Radar! Tumesahau! Epa! Tumesahau! Migodi! Haituhusu! Iptl! Tumesahau! Mafuta! Tumesahau...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitasimamia na kuhakikisha kuwa hakuna kura yake inayoibiwa katijka uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Igunga, mkoani Tabora hakitaliachia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
I am not a big fan of Johnson Mashaka, but I do believe he makes lot of sense sometimes. According to this article in Michuzi Blog. He makes a very compelling argument why we should not be poor...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika dalili zote zinazoonekana kuwa CCM ina hali mbaya kwa uchaguzi mdogo wa Igunga tayari ina makosa mengi ambayo viongozi wa ccm mkoa na taifa watalazimika kujipanga vizuri na makosa hayo ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KATIKA kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, Rais Jakaya Kikwete alitoa ahadi ya kuufanya mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara. Aliahidi kununua meli tatu zitakazotoa huduma katika...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Dunia imeona na kusikia maanguko ya watawala nchi kadhaa, wote waling'ang'ania madarkani kwa nguvu huku wakijua fika kwamba wananchi wao hawawataki. To them civil war where their citizens killed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeni msaada, hivi bunge la sasa hivi likipiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya tanzania kutokana na mambo mengi yanayojitokeza kama vile tatizo la umeme, jairo, ngorongoro na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania nimeshangazwa sana na kitendo cha kuundwa kwa kamati ya bunge kuchunguza issue ya JAIRO sababu ninazo na vigezo ninavyo,moja ya sababu ni kuwa bunge ndio lililoibua mjadala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wana wa jamii ningependa kujua wakati Bunge likiunda Tume ya kuchunguza tuhuma za katibu mkuu wa nishati.Je ni lini na sisi wananchi tutaunda tume yetu kwa kuandamana kuwapinga wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom