Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanyama kusafirisha nje ya nchi kinyemela Bajeti za wizara 3 kukataliwa bungeni Kuchangisha taasisi zilizo chini ya wizara ili bajeti ipite Ukosefu wa umeme nchi nzima Garama za maisha kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hamjambo hapa jukwaa la stress? Me niko na stress, inayotokana na hali inavyoendelea hapa Tanzagiza nadhani kimojawapo hapo juu kitatuua. Imagne una kamradi kako kanategemea kuendeshwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa TBC taifa raisi Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi juu ya Jairo asubuhi ya tarehe 25 na baada ya kuisoma aliamuru Jairo asirudi kazini hadi yeye mwenyewe rais atakapoamua namna...
5 Reactions
76 Replies
7K Views
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 26th August 2011 KATIBU wa Jumuiya ya Vijana ya Chadema (BAVITA), Anold Kamunde na aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema, Gervas...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
kuna habari nimeisoma kuhusu iki kiwanda cha sukari, kilichonishitusha ni hali ya wafanyakazi wa kiwanda hicho, hivi huyu muwekezaji angekuwa huko kwao watu wangekuwa wanafanyakazi katika...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna kila dalili ya AU kutoitambua serikali ya waasi (TNC) iliyomwangusha Col. Gaddafi. Hadi sasa zaidi ya nchi 50 ulimwenguni na mashirika mbalimbali ya kimataifa EU, NATO,UAE yameitambua...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Sat, Aug 27th, 2011 Zitto Kabwe who is the Public Organisation Accounts Committee Chairman Zitto Kabwe who is the Public Organisation Accounts Committee Chairman has vowed to resign if it is...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
The outcry in Mombasa is no longer a secret ,an outlawed Mombasa Republic Council is gaining popularity as days goes down towards next Kenya Election 2012. These guys are claiming that Mombasa was...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ni mgongano wa kihistoria ambao ulipaswa kutokea. Ni mgongano ambao hutokea mahali popote panapokuwa na tofauti kubwa kati ya watawala na watawaliwa. Ndivyo ilivyokuwa kwenye Mapinduzi ya...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kama ilivyo ada, kila asemalo huyu mdau huwa linakuwa gumzo. Ni njia ipi mbadala wa uchaguzi ya kumuondoa rais madarakani ukiacha Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais? Kadhalika ni...
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Leo wabunge wawili akiwemo Halima Mdee wameshambulia waziri wa fedha kwa ushuru wa magari usioleweka..... Mbunge mmoja alifikia kuwaita TRA majambazi.. Ccha kushangaza wabunge hao wamemtaka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Fri, Aug 26th, 2011 CCM Secretary General, Mr Wilson Mukama Ruling party (CCM) Secretary General Wilson Mukama has described as frightening the emerging tendency for quick amassing of wealth...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nbunge/mwakilishi ktk Zanzibar amelalamika kuwa Waislam wa bara wananyanyaswa sana na sheria ya ndoa, kuwa inaruhusu kuozesha watoto wao kuanzia miaka 18, kinyume na sheria ya dini inayoruhusu...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Leo bunge linafikia tamati hadi msimu mwingine. Je, mbunge wako amekuwakilisha ipasavyo au ameenda kulala? Nini kifanyike? Bunge limetimiza wajibu wake?
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Anayeweza kukataa kuwa sasa hivi nchi yetu ina viongozi wenye fikra chovu na walio lewa na kuvimbiwa madaraka kuliko wakati wowote wa historia ya taifa hili atakuwa hana tofauti na mwenye nyumba...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Ulipukaji wa mabomu katika kambi ya mbagala mwaka 2009 mwezi wa tano ulileta maafa hususani kwa wakaazi wa eneo hilo na viunga vyake,nyumba za wananchi zilibomoka kwa kupigwa na mabomu,zingine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wakati wa kipindi cha bunge cha leo Letcia Nyerere alitaka Mkulo ataje makampuni yaliyopata pesa za stimulus package, Kilichonishangaza ni pale spika aliposema "Wizara mmeniangusha kwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Wabunge wa CCM wanagongana na serikali yao. Wanainyanyasa na kuimbua mbele za watanzania. Nimewahi kuandika huko nyuma kuwa ni jukumu la upinzani kudhoofisha serikali...
25 Reactions
109 Replies
9K Views
Baada ya waziri Wasira kuikashifu kambi rasmi ya upinzani na baraza kivuli la Mbowe, kumezuka mabishano makubwa na kutupiana vijembe kwa ukali na kwenda mbele zaidi kutumia maneno yasiyo na...
0 Reactions
111 Replies
12K Views
Back
Top Bottom