Dr. Kigwangala: another Lucas Selelii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Kigwangala: another Lucas Selelii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Aug 23, 2011.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa kwa ukali anaoendelea nao ndani ya bunge, kwa kitendo cha kupinga sera na itikadi za ccm, na kutetea maslahi ya wananchi wa Nzega, hatadumu. Nawaambieni 2015 watamfanya walichomfanya Selelii kwenye kura za maoni. Amepinga bajeti ya wizara ya maji kwa 100%. Anasema naweka kumbukumbu sahii kwenye hansard, ili baada ya miaka 50 wajukuu zake watakaoingia humu wakaisoma hansard wasije wakamwona ni punguani kwa kuunga mkono hoja. Ghasia kaomba mwongozo wa spika kutaka Dr. Kigwangala afute kauli yake ya punguani, akilalamika kuwa inamaana wabunge wanaounga mkono hoja ni punguani. Spika kamtetea Dr. Kigwangala.
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  huyu jamaa anatafuta umaarufu kwa kutetea wananchi kwa sera zisizo za chama chake lengo nikuwa karibu na wananchi mwaka 2015 wamrudishe mjengoni la sivyo Bashe nae anataka kupita hapo hapo!
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kakulipa shilingi ngapi ili umpigie kampeni kwa mambo asiyostahili?
   
 4. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Magamba ndivyo walivyo, ila mwisho wake utasikia anaipa 100% kupita
   
 5. Lyampinga

  Lyampinga Senior Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kama ni mkweli, aachane na chama cha mafisadi
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mi sijui anakoenda.
  j3 akiongea anaiponda serikali,
  jumanne akiongea anaisifia serikali yake ilivo makini.
  Kind of he is pondering which side to take.
  Ni kama Tanzania enzi ya Cold war na Non-aligned movement ili kumega ugali huku na kuchovya mboga kule.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Akapatane kwanza na aliyemwibia jina...
   
 8. Erick G. Mkinga

  Erick G. Mkinga Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana.,,Tunataka wabunge namna hii,bila kujali itikadi zao lakini penye ukweli wananena.
   
 9. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kilio kikubwa cha watanzania ni wabunge wa CCM kuweka mbele ya maslahi ya chama kupita yale ya nchi na wananchi. Sasa baadhi yao wanaonyesha kurekebisha kasoro hiyo tunaanza kuwananga. nani alisema kuwa wabunge weny haki ya kuwatetea wananchi ni vyama vya upinzani tu? Keep it up Dr Kingwangwala!!
   
 10. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Sasa huyu kapinga kwa 100%
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nadhani alishagundua hakuwa kipenzi cha wana Igunga, bali chaguo la mafisadi. Sasa kaanza kujikakamu kusudi wapiga kura waseme kumbe jamaa yupo poa.
   
 12. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Jamani kwenye ukweli tusifie, hata kama chadema kuna mabaya na mazuri lakini sio kweli kwamba kwasababu yuko ccm basi ndo kila mtu hafai. Huyu Daktari mi namkubali saaaaaaaaaana, hamumunyi maneno, kama ovyo atasema hiyo ni ovyo, kama kweli basi atasifia. Tuwe wakweli, huyu jamaa kama unamfuatilia huwa ana contributions nzuri sana. Wasiwasi wangu ni kama atadumu ndani ya chama chake au jimbo lake.
   
 13. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WanaJFMhe. Dr. Kigwangala ni kijana na ana elimu nzuri, hivyo ni vema akasimama kidete bila unafiki kuwatetea wananchi wa Nzega. Nchi hii imezidi na ahadi za uongo na unafiki mkubwa.......Subirini 2015.....hata kama CCM watashinda lakini bado wabunge wake takribani 80% watakuwa vijana zaidi ya akina Mhe. Dr. Kigwangala
   
 14. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Anajtengenezea njia na jina...juz nilikuwa Nzega..ktk shughuli za utafiti wangu wa uelewa wa watu wa Tabora ktk mambo ya siasa..nililala EPE HOTEL..Nimejfunza meng sana juu ya wakaz wa Tabora,leo nitakuwa Igunga kwa siku kadhaa...mwisho ntawashriksha sehemu ya utaft mpate kunikosoa...ila Kigwangala(Said Bagaile jna lililoenea Nzega kwa sumu ya Bashe) ana kaz kubwa,watu wake ni masikini sana tena sana
   
 15. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mguu moja ndani na mwingine nje!anatamani aingie kwa wapinzan na wakati huohuo anaogopa magamba
   
 16. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwanza ni Mrundi. Aende kwao akaonyeshe makali yake wamsulubishe mara moja
   
 17. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kama hayo ni kweli basi kula tano, Dr Kigwangala!
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wana JF tuwe fair..
  siyo ukimpongeza mtu wa CCM basi na wewe ni magamba au umelipwa kuna waadilifu ndani ya sisi ingawa wamefunikwa na baadhi wanafanya kwa malengo yao binafsi zaidi...Mbona Mbowe alipongeza January Makamba
   
 19. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dr. Hk, nampongeza kwa ujasiri wake sio mnafiki km simbachawene aliye bwabwaja alafu mwisho analazimisha wenzake eti waunge mkono! Keep it up bro!
   
 20. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ukiwa ccm huwezi kuwa sawa yeye ni gamba tu......sanasana unafiki hana jipya
   
Loading...