Njama ya kuficha ukweli wa Ukatili-Urambo

MANGI MASTA

Senior Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
175
Points
0

MANGI MASTA

Senior Member
Joined Jul 14, 2011
175 0
Naangalia tv hapa ni kichekesho.Wanaonekana baadhi ya wanakijiji wa Shela Urambo wakidai kwamba hakuna nyumba iliyochomwa moto kama Mh.Magdalene Sakaya mbunge viti maalumu Urambo-CUF alivyoelezea bungeni, naye mbunge wa Urambo Juma Kapuya anakiungana na wananchi hao(wengine wana kanga na mashati ya kijani), wanaonekana kama wameandaliwa waongee kwenye TV.

Cha ajabu TBC1 wanaonesha nyumbamba moja iliyogofu kutokana na kuchomwa moto.

Source Taarifa ya Habari TBC1 saa mbili, Ziara ya waziri Maliasili Maige Urambo.

Propaganda za Kapuya na serikali yake kujaribu kuficha ukweli juu Unyama na Unyanyasaji wanaotendea watanzania Utatufikisha wapi?
 

Forum statistics

Threads 1,358,252
Members 519,261
Posts 33,163,274
Top