Waliosukuma Gari ya Jairo hawana kazi ya kufanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosukuma Gari ya Jairo hawana kazi ya kufanya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 25, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Niliwaona wafanyakazi wa Wizara ya Nishati Madini wakisukuma Gari ya Jairo na kuimba kama wako kwenye harusi wakati ni muda wa kazi.Kwanini wasisimamishwe au kukatwa mishahara yao kwa kugeuza sehemu ya kazi kama Holi la burudani.Wachukuliwe hatua ili kuondoa unafiki unaozidi kujengeka kwa Watanzania?Mawazo yenu tafadhali wanajamvi.
   
Loading...