Muungano Muungano Jamani tupeane nafasi

shegaboy

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
213
Points
0

shegaboy

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
213 0
Jana nilishangaa sana kwa wabunge wa CUF na CCM wakimshambulia Tundu Lisu kwa matusi na kejeli nyingi.
Naomba watanzania wote tuungane tu jadili kwa kina swala hili na sio kukurupuka tu na kujifanya sisi ndio wajuaji sana katika huu muungano.
1. Tujiulize mengi je katika huu muungano kuna faida gani na una maana gani katika tanzania.
2. Katiba ya jamuuri ya muungano inasemaje kuhusu muungano
3. Huu muungano ulikubalika kwa pande zote mbili au yalikuwa maamuzi ya mtu mmoja tu.

Naomba niseme kuwa :
namba mbili ni kwamba KATIBA ya jamuuri ya muungano ina tambua kuna kuna serikali ya mapinduzi znz tu na pia hiyo serikali ya mapinduzi pia ina rais na waziri kiongozi. inanishangaza leo wenzetu wanzanzibar wamekaa wao wenyewe na kubadilisha taratibu leo kuna rais na makamu wawili wa rais KATIBA ya jamuuri ya muungano bado ina sema zanzibar kuna rais na waziri kiongozi. alafu watu wanakuja wanasema kuna muungano umesha vunjwa jamani labda mimi sijui kusoma ata kuona tu kwamba hii ni mbili unataka kuniaminisha niseme tatu no Tundu lisu watanzania wenye uelewa wako nyuma yako usijali ni madogo walitumwa hao. kwani nani ajui kuwa wametumwa huoni kapewa nafasi ya kumtusi hii ingefanywa na MH. Lema au Mchungaji au Wenje UNGEONA NDUG. LUKUVI ANAOMBA MWONGOZO
 

smz

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2010
Messages
250
Points
0

smz

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2010
250 0
Wabunge wa CCM wanadhani waTZ ni wasahaulifu kama wao. Akina Lukuvi watatueleza tu mwaka 2015 kwamba hiyo miongozo waliyokuwa wanaomba ili kuwadhibiti wawakilishi wa wananchi ilikuwa kwa manufaa ya nani.

Maana wote hao unaowaona viherehere wa "Muongozo wa spika" pindi mbunge wa upinzani (hasa CDM) anapoongea ukweli watarudi tena kuomba kura na staili yao ya kupiga magoti na kuamkia kila mtu.

2015 tunasema labda wote muingie kwa viti maalum. Lakini kura yangu mimi mwana Isimani nikupe tena, hii haitatokea.
 

jameeyla

Senior Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
119
Points
0

jameeyla

Senior Member
Joined Aug 12, 2011
119 0
tundu lisu suala la muungano ni la CUf na CCM usijipendekeze kwa wapemba bure au umesahau kina maalim mpka kukaa pale walipigika vyakutosha wape nafasi tafadhali waujadili wapendavyo huko hapakufaiii,,,
 

Forum statistics

Threads 1,356,415
Members 518,903
Posts 33,132,121
Top