King of the south
Member
- Aug 12, 2011
- 5
- 4
Kiukweli kwa uhalisia wa wananchi wa uganda wanaona Bongo ni bonge la nchi lenye maendeleo.
Jaman hivi ni kweli kuna mabadiliko yanayokufanya usifie tangu Kikwete adake nchi? Tuondoe shida za hapa na pale kama huu umeme?