Kitabu cha Mwongozo wa Katiba kwa raia kimezinduliwa leo!

Mtumishi Mkuu

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
259
92
Kwa wale wadau wanaofutilia mchakato wa katiba mpya, leo Deus Kibamba amezindua kitabu cha mwongozo wa katiba kwa raia pale habari maelezo. Nakala zinapatikana bure kutoka policy forum pamoja na shirikani kwa Kibamba mwenyewe pale TCIB. Naomba kuwakilisha
 
Uko bungeni ratiba ya kuongelea uundwaji wa katiba mpya ikoje?ama haijadiliwi tena na bunge hili?
 
mie naomba elimu kwa mpiga kura ijumuishe kwanini, kwa vipi, tunawachagua watu kwa kura kuwa wawakilishi wetu, na pia kwa nini na kwa vipi tunawatoa watu kuwa wawakilishi wetu,

yani tunawachagua vipi, na tunawatoa vipi, elimu hii isiachanishwe, kwa sasa watu tunajua jinsi ya kwenda kwenye mikutano ya kampeni, tunajua jinsi ya kupiga kura, na umuhimu wake, lakini jinsi ya kujiorganise, jinsi ya kufanya vitu vya kuzingatia wakati tunataka kuwatoa kwenye hizo nafasi?

kwa sasa nataka utaratibu wa haki kabisa wa kumtoa madarakani raisi wetu,
 
Back
Top Bottom