Ushauri kwa Rais wangu JK.

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Ilikuondoa uozo Serikalini uarakishe maandalizi ya katiba mpya na uitishe uchaguzi kabla ya 2015 na unaweza kugombea tena kwa kuwa TZ inazaliwa upya.Hii itakusaidia kujitenga na wanafiki katika CCM na mafisadi.WanaJF mnaonaje ushauri huu.Endeleeni kumshauri Rais wetu, nawasilisha.
 
utekelezajin wa ushauri huu utasaidia kuondokana na dhana ya kuvua gamba ambayo itaishia kung'oa mizizi kwa kuwa magamba ya CCM ni mengi.
 
Ushauri Wangu Kwa Raisi...

Usitegemee hali ilivo mbaya saizi Tanzania itakua nafuu yenyewe bila kufanyiwa utafiti wa kina na suluhisho za maana... Na wala usitegemee kua hao wanaosimamia sector zote ambazo ni nyeti na zimesababisha machafuko wanaweza leta matokeo yoyote yale ya kupelekea unafuu katika sector husika... Usitegemee kua wananchi ni wajinga mno na kua wanakubali yoote yanayowakilishwa na serkali yako... Na wala usitegemee kua wanachi watakuangalia kwa jicho zuri hali kila kunapo kucha unazidi tuboa... Yaani hata hili dogo tu la Jairo limekushinda?? Huo Uraisi unajiita Raisi kwa misingi gani walau sie wagumu kuelewa tuelewe?? Kwamba huna huruma na sie kwa maisha yetu kua magumu... bado utuumize na roho zetu pia?? Au unafikiri ni woote ambao tukiwa na matatizo tunachukua holiday ya kwenda ng'ambo?? Tafadhali Raisi wangu namomba tufikirie hata sie wa kawaida.... acha tu kufikiria hao ambao wanakutisha kuchukua maamuzi ya msingi....
 
unashauri mbuyu hauwezi kukuelewa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
(mbuvu au mbovu) Lipi bora kuendelea kuumbuliwa au kupisha wengine au kutengana na waliochafuka ili uheshimike.
 
Hello fellow Tz wenye uchungu na kodi zetu na nchi yetu.

rais wangu inawezekana! inawazekana! ni rais mzuri tu, lakini kama mimi leo mingepewa nafasi ya kupeleka nchi yetu pazuri kuna watu kwenye serikali hawajijui wanafanya nini, kama CAG hajawahi kutoa report chafu kwa maswahiba wa rais, Hosea ndo kabsiiisa i tunamlipa msahara kusafisha wala rushwa wakubwa wanabaki waliokamwatwa wala rushwa ya laki moja or less.hivi Ngeleja na Luhanjo wanasubiri nini kwa kudharua mamlaka au mpaka summary dismissal?
 
Back
Top Bottom