Na Waandishi Wetu (Raia Mwema)
Dodoma
24 Aug 2011
Toleo na 200
KUGUSWA kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa, katika kashfa alizoziita za uongo zilizoelekezwa kwake na...
Wana JF, Meya wa Dar bwana Didas Masaburi baada ya kuelemewa na tuhuma nzito za kashfa ya UDA ijumaa iliyopita alifanya mkutano na wahariri wa vyombo vifuatavyo vya habari kwenye hoteli ya...
Neville Meena, Dodoma
MKUTANO wa nne wa Bunge la Bajeti ulihitimishwa jana kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda kutangaza majina ya wabunge watano, wanaounda Kamati Teule kuchunguza utaratibu...
The Citizen (Dar es Salaam)
Gasper Andrew,
25 August 2011
Singida In a bizarre incident, a Member of Parliament has likened Singida residents to indigenous chicken for their continued support...
Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.
Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani...
WAPIGA kura wa kata ya Makonde wilaya ya Ludewa mkoani Iringa wampokea mbunge wao wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) kwa mawe ,fimbo na mabango ya kumkataa diwani wa kata ya Makonde -...
Wakati speaker wa bunge, Ana Makinda akihitimisha kikao cha bunge, ameipongeza serikal kwa bajeti zake zote kupita. Na kuishauri itumie vizuri bajet kama ilivyopangwa.
Source:Tbc1,
taarifa ya...
Gazeti la serikali la Daily News la leo lina habari kuwa bei ya sukari nchini itapanda zaidi hadi kufikia kati ya Tshs 2500/- Tshs 3000/- kwa kilo moja. Habari hizi mbaya zinakuja wakati tayari...
If you hate CCM, or you think at least this is the time for it to go, just like this! If you have no confidence with this government and you think it
should go, like this! If you think Tanzania...
Wakuu,
Niliyasikia maneno ya Mbunge na Mwakilishi wa Zanzibar Bungeni, kweli tunakoenda si kuzuri, mbunge alifikia hadi kusema haya mapinduzi tunayoyaongea wao waliyafanya 1964. Kafika mbali...
Mwenendo wa jana wa wabunge wa Zanzibar wakati wakichangia hotuba ya waziri kivuli wa kambi ya upinzania unaonyesha jinsi wanasiasa wa Zanzibar walivyokuwa sitaki nataka. Mara nyingi wameigiza...
Haya ndio mambo 22 mbunge wa Zanzibar anaweza /anaruhusiwa kuzungumzia akiwa jengoni Dodoma . Zaidi ya haya is no go zone ie marufuku?
1.Foreign Affairs
2. Defence
3. The police
4...
Ndugu zangu,
Nchi yetu sasa imekumbwa na masika ya habari, imekuja na mafuriko pia. Ndio, kuna tuliofunikwa na mafuriko ya habari, hatujui ni ipi ya kuanza nayo.
Lakini, hili sakata la Jairo...
Tanzanias shilling headed for a sixth week of declines against the dollar as commercial banks bought the U.S currency before
The currency of East Africas second-biggest economy retreated as...
Katika hali isiyo ya kawaida kwa Wabunge walihoji bungeni kulikoni Bw,David Jairo kurudishwa kazini katika kile kilichoitwa kamati ya upelelezi wa Bunge na ile ya wizara ya nishati na madini...
Wahenga wanasema sarafu ni pande mbili, usipojua upande wa pili wa sarafu kwamba uko je, huwezi kutoa hukumu. Lakini mimi leo niseme kuwa dadu(die) ni pande sita mmoja ukiangalia juu, mmoja...
Hi wadau
Nina maoni, wito na mtazamo tofauti juu ya tume inayotakiwa kuchunguza na kuihauri serikali sakata la Pesa za "mawasiliano" lilioibuka katika wizara ya Nishati.
Katika sakata...
Mswada mpya unasema ili katiba mpya ipite lazima pande mbili za muungano zipitishe kwa theluthi mbili kwa maana ya bunge maalum la katiba na referandum.
Ina maana kuwa CUF ndio watakuwa waamuzi...
Leo Waziri wa Sheria Selina Combani kamchana Mh. Tundu Lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani
Anadai:
1. Lissu ametumia lugha ya uchochezi ktk hotuba yake.
2. Hajaptia hotuba...
Upo wapi usawa na sheria inasemaje juu ya maneno haya kwenye taasisi inayosikilizwa na idadi kubwa ya watu tanzania na hata nje ya nchi. Jana mbunge wa zanzibar alitumia maneno Upumbavu upuuzi na...