Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee, Aug 25, 2011.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Leo Waziri wa Sheria Selina Combani kamchana Mh. Tundu Lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani
  Anadai:

  1. Lissu ametumia lugha ya uchochezi ktk hotuba yake.

  2. Hajaptia hotuba ya wzara kabla ya kuandaa ya kwake.

  3.Mh. lissu huwa anakwepa vikao vya kamati ya bunge kwa hiyo hawezi kujua yaliyojadiliwa.mfano kikao kimojawapo alikuwa Nyamongo.

  4.Awaasa wabunge wa kambi ya upinzani wa pitia hotuba za mawazir ili kuepuka "madudu" ya mtu mmoja kuwakilisha mawazo ya kambi nzima.

  5.Kuhusu kukithiri rushwa mahakamani, anadai hana uhakika ilia atafatilia.

  6.Asema Lisu hajatumia Busara, akili n akarima aliyojaaliwa na mungu.

  7. Mchakato wa katiba bado.

  8.Kuhusu bajet ya Wizara inatosha kama Lisu anaona haitoshi ajazie kutoka kwenye jimbo lake.
  Mwisho amesema Lissu ametoa hoja ambazo ni genuine ila nyingne amedanganya.

  hayo ni kwa ufupi

   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa anasema lakini hoja ni nzuri!
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Aaah, hii ndo nini sasa. Nilidhani hoja hujibiwa kwa hoja ....
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  amejichana mwenyewe ilifika mahala mpaka akawa emotional karibu alie hajui afanyalo
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  jamani mwenye konection na dr anipe kuna uwozo mkubwa katika chuo cha madin afanye hima.
   
 6. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Nisingetegemea kabisa kuwa mama Kombani amsifie Lisu, hayo yangekuwa maajabu ya mwaka. Magamba waelewe tu kuwa siku zao zinahesabika. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  dr nani?
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,204
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Huyo mama uwezo wake kifikra na kimtazomo wa mapana na marefu ni mdogo sana!
  Nilitegemea ajikite zaidi kujibu hoja badala shambulio la kimwili alilofanya.
  Ili arudi ktk ulimwengu wa siasa za tz zenye kumbo la wananchi ningemsihi amuombe radhi mh Lisu hapohapo bunge!
   
 9. e

  ebrah JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi nimemuona akiwa anajibu maswali, amani ccm mtaendelea na uongo hadi lini?
   
 10. M

  Mwene wa Yumbi Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo naye si gamba tu? Yaani Magamba wamefika mahali sasa hata hawaeleweki. Kombani hana uwezo wa kujenga hoja against Lissu
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwanza huyu mama ni kati ya mawaziri wanaomaliza hewa tu kwenye cabinet. Kichwani ni sifuri kabisaaa.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nani huyo?
   
 13. m

  mndeme JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yaani huwez kufanya comperative analysis kati ya lissu na huyo kilaza ndo maana yeye ndo alikuwa napotosha umma
   
 14. g

  gkidin Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  combani sio mama makini pia ni m2 wa kukurupuka, hakukuka chini nakufikiri kwanza. Tatizo la mawaziri na spker wa bunge na wabunge weng kama sio wote wanasaidia serikali kutawala badala ya kukosoa. Tatizo hawana uhelewa wa vitu. OGOPA ANAYESHIBA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI FINYU.
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Selina Kombani hana weledi wowote katika mambo ya sheria kwahiyo asingeweza kujibu chochote cha kisheria toka kwenye hotuba ya Tundu Lisu. Ni kama waziri vuai na serikali yote ilivyoshindwa kujibu hoja za Lema na kuishia kulalamika kwamba Lema anafanya uchochezi. Sasa serikali ya magamba ikikosa hoja ya ku counter dhidi ya wapinzani wanakimbilia kutafuta huruma kwamba hoja za upinzani ni za uchochezi.
  Serikali legelege hii taabu tupu.
   
 16. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kamchana vizur kiherehere kwisha
   
 17. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyu si ndiye yule aliyesema hatuhitaji katiba mpya? Case closed.
   
 18. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhhh
  hii nayo kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  kuna la kujivunia kweli hapoooooooooooo
  ama kweli tanzania ina mawaziri vihiyooooooooo
   
 19. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa pana tatizo kubwa. Mheshimiwa waziri amechemsha. Hizo points zote hapo juu hakuna hata moja inayozungumzia hoja za Lissu. Kwa sisi ambao hatuko kwenye luninga ametuacha hewani kwa sababu hatujui hata alichoongea mheshimiwa Lissu.

  Naona mama anajikanganya mwenyewe na maneno mengi yasiyo na tija. Mimi nadhani angekwenda kwa hoja moja moja alizozungumzia Lissu na kuzijibu kwa hoja angeeleweka lakini hivi?? ndiyo mawaziri wetu hawa?

  Kazi ipo bado
   
 20. W

  We can JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hovyoooooooooooooooooooooooo. Kimama kinachekacheka tu, harafu dada yake anataka kukitetea, wakati watanzania wote wamekiona kikichekacheka, nitatukana..........mungu nisaidie, nataka kuivunja kompyuta yangu...
   
Loading...