Spika wa bunge aipongeza serikali

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Wakati speaker wa bunge, Ana Makinda akihitimisha kikao cha bunge, ameipongeza serikal kwa bajeti zake zote kupita. Na kuishauri itumie vizuri bajet kama ilivyopangwa.

Source:Tbc1,
taarifa ya habar 8:00 pm.
 
Back
Top Bottom