Kwa mujibu wa mtazamo wangu wa hali ya siasa na bunge katika bunge hili la kumi, nadiriki kusema kwamba sitashangaa sana kama kabla ya mwaka 2015 bunge likaomba kupiga kura ya kutokuwa na imani na...
Ninaomba nianze kwa kukiri kwamba mimi ni miongoni mwa wadau katika taaluma!
Ninachukulia maana ya neno siasa kwa namna isiyo rasmi hususani kama ambavyo watu wa kawaida wanavyoweza kuichukulia...
Naamini mojawapo ya mambo yanayotakiwa kuchunguzwa na kamati ya bunge ni kukiukwa na kuingiliwa kwa mamlaka ya bunge. Mhusika mkuu katika hili ni Luhanjo.
Kama Jairo kaenda likizo kupisha...
Tundu Antipas Mungwali Lissu, (Mb-Chadema) na msemaji wa kambi ya upinzani katika wizara ya katiba na sheria, jana akiwasilisha hotuba ya kambi ya upinzani ya wizara ya hiyo alisema kati ya mengi...
Wadau miaka kadhaa imepita tangu niandike makala yangu katika gazeti moja, haikuchapishwa kwa kuwa nimezidi kuropoka. Wana Jf someni nanyi muone jinsi ninavyopenda kuropoka. Nashukuru uropkaji...
Natamani kuona baraza jipya la mawaziri japo lala salama tuone juhudi za mwisho kuinusuru Nchi na heka heka zijazo ambazo, kwa wale wasiopenda kuona maswali yasiyo na majibu yakiwa hayana majibu...
HAYA wandugu,kile chama makini chenye viongozi vijana wenye mtazamo wa kuikwamua nchi katika matatizo magumu sasa kipo iringa pamoja na Ruvuma katika harakati za kuhakiki wanachama kuelekea...
Mwanzoni mwa mwaka huu kama si mwishoni mwaka jana, kipindi cha orijino komedi kinachorushwa kupitia TBC, kilirusha uchakavu na utelekezwaji wa makumbusho ya mzalendo wa kweli hayati Edward...
Baaada ya raisi wetu kushidwa kazi kwenye kila kitu sasa Watanzania wanamtemea Spika Makina kufanya maamuzi magumu nchi na kuokoa nchi tu kwenye janga la umasikini. Kwenye maswala a umeme...
Wadau bunge ndio hilo limeahirishwa tuambizane hapa jamvini ni wabunge gani waliokua makini katika kutetea maslahi ya nchi na kuwawakilisha wapiga kura wao, honestly siwezi kumsahau mh John Mnyika...
Dosari iliingia kwa mgombea wa CUF hakuwa na barua ya kuteuliwa na chama chake.
VYAMA vya Chadema na CUF jana viliuteka mji wa Igunda kufuatia maelfu ya wanachama wa vyama hivyo kujitokeza...
Nafkiri washauri wazuri wa CCM ni Gaddafi aliwafanyia mambo mazuri walibya tatizo kasahau kwamba nyakati zina mabadilika. Ben ALLY jeuri ya fedha ilimdanganya. Mubaraki naye hivyo. Nguvu ya umma...
Na Nova Kambota,
Niliwahi kusema kuwa ingawaje ngwara na mtama husababisha mtu kudondoka chini bado ni ukweli ulio wazi kuwa ngwara na mtama ni tofauti anayebisha na abishe! Kuna tofauti kati ya...
TANZANIA ni nchi iliyojaliwa ardhi ambayo si mbaya kwa kilimo; ina madini tele yanayouzwa kwa bei sawa na bure kwa wageni; kuna mali asili tele; ina fukwe za bahari, maziwa na mito; ina milima...
Kwa mliosoma Machiavellianism: Mbinu mojawapo ya kutawala kirahisi kabisa ni kuwasahaulisha wanachi mambo ya msingi ama "kuwalewesha" na kuhakikisha unahamisha fikra zao kutoka katika mambo ya...
The Fall of Tyrant
Ukiamka leo asubuhi utaona jinsi dunia ina-brace for changes in Libya. Hii ndio news duniani kote 'Gadaffi na watoto wake wameangushwa libya' tunajua hii process imekuwa...
Happy Lazaro, Arusha
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amezitaka mamlaka za dola kuwafukuza kazi, viongozi wakiwamo mawaziri wenzake waliojilimbikizia mali kwenye biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.