Wakati sukari bei haishikiki, wafanyakazi wa kiwanda hawana viatu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati sukari bei haishikiki, wafanyakazi wa kiwanda hawana viatu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VIKWAZO, Aug 27, 2011.

 1. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  kuna habari nimeisoma kuhusu iki kiwanda cha sukari, kilichonishitusha ni hali ya wafanyakazi wa kiwanda hicho, hivi huyu muwekezaji angekuwa huko kwao watu wangekuwa wanafanyakazi katika mazingira haya?

  kama wafanyakazi wake wako hivi anaweza kujari mazingira yanayozunguka kiwanda pamoja na kuwekeza kwenye maeneo yanayozunguka kiwanda hicho yaani CSR
  HATA hali zao za kiafya sio za kulidhisha kuna dhuruma hapa, wahusika mpo
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Jana nilikuwa na supplier mmoja pale Arusha,
  Wananunua mfuko wa kg50 kwa laki na elfu20...
  Hivyo 1kg saiv ni sh 2500 kwa rejareja.


  Back to topic;
  Kaka Vikwazo, ukitembelea hivi viwanda na makampuni binafsi,
  Hakika utadiriki kusema kuwa tupo utumwani na wala hii nchi hamna mwenyewe..
  bado hao wanyakazi wakitoka hapo wanasachiwa mbaya
  hapo hatujahoji malipo yao,
  Marakadhaa huwa najiuliza kazi za "Wizara ya ajira na maendeleo ya vijana" ni zipi? na hivi tunayo hii wizara kweli??
   
 3. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  tena umenikumbusha bora hiyo wizara ifutwe tu si kuna ya utumishi, watu wanateseka mimi hii picha nimeiweka kwenye pc yangu nawasikilizia
  wanasiasa wetu, wengi wata kaa kimya lakini najua wapi nitakutana nao na hii picha, kuna upuuzi mwingi sana wa hawa wawekezaji
   
 4. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  afisa mtendaji wa kiwanda
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  • sasa hivi nchi imekabidhiwa kwa mkoloni..................nilishangaa jana kiongozi mmoja wa kiafrika akidai tujichunge mkoloni asije akarudi....................nilijiuliza kwa nini aliwahi kuondoka?????????????????????????????????

   Alichokuwa akifanya ni indirect rule na akaiboresha kwa kutukabidhi tujimalize wenyewe......................................kwa kumtumikia yeye....................na kilichotufikisha kule ni kutokumjua Muumba na hivyo tumelaaniwa na tutaendelea vivyo hivyo tuwe matajiri au hata masikini....................yote ni sawa.......
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Tuanze mziki wa maandamano tena. May be it will bring somethng different!
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kama wa mafuta walipandisha watanzania tuko kimya basi hata wa sukari, mafuta ya kupikia, wote watapandisha.

  Watanzania tuko zoba saaana, woaga saaana

  Wanaharakati wako kimyaa wakati watanzania wanaumia. Wasomi na vijana wa Tanzania kimyaa sana au ni uogaaa??

  badala ya kuhamasisha na kuelimisha watanzania, uoga wetu ndo unampa Vasco Da gama ujasiri wa kufanya atakalo

  Vasco sio lege lege ila watanzania ndo mazoba.

  VAsco da gama anawasoma watanzania anatuona waoga na hivyo anaburuza hadi shimoni
   
 8. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ila hawa wafanyakazi wa kiwanda cha sukari hali yao mbaya aisee
  hivi hiyo sukali wanayotembee pekuu juu yake haina madhala kiafya baada ya muda furahi

  na safety equipment kama buti na kadhalika hakuna?
  ina maana biashara ya sukali hailipi kiasi hiki?
  kama wanaofanya kazi kiwanda cha sukuri wako hivi wanaofanyakazi kiwanda cha lami wakoje?
   
 9. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mkuu yani hali na mbaya, unajua haingii akilini sukari kuwa bei juu alafu wafanyakazi wapo hali zile, kuna siku niliona tangazo la kazi kumbe kuvuna miwa sasa uliza malipo yake hapo ndo nilichoka kabisa. nchi hii kama tumelaaniwa maana tumelala sana.sijui tutaamka lini
   
 10. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Maandamano huwa yanasaidia sana, sijui yataanza lini lakini makamanda wetu wamemaliza bunge sasa ni maandamano kwa kwenda mbele mpaka kieleweke. Bei ya sukari inatisha jamani
   
 11. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  Mkuu hapo kwenye red hiyo wizara imekuwa mtetezi wa wenye viwanda na makampuni na sio walala hoi watanzania.Hali za wafanyakazi ktk hizo kampuni na viwanda ni mbaya wanakandamizwa sana mishahara midogo kazi nyingi, hawana usalama wowote hata security ya kazi hakuna. Yani Nchi hii haijali wananchi wake kabisa.

  Kinachosikitisha utakuta huyo mtumishi pamoja na hali aliyonayo bado anaisifia ccm Mungu atusaidie tunaitaji kukumbolewa kifikra zaidi.
   
 12. n

  niweze JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii issue ya sukari kweli inanigusa sana kwasababu wazazi wangu walifanya kazi maisha yao yote kwenye viwanda tofauti vya sukari Tanzania. Kwa kifupi ninayo insight kubwa ya hii issue. Hapo miaka ya nyuma nakumbuka kabisa jinsi gani makampuni ya kigeni yalivyoendesha hivi viwanda i.e. kilombero, mtibwa, tpc na kagera. Productivity ilikuwa juu sana na kutokana na policies za serikali kulikuwa na ushirikiano mkubwa wa haya makampuni na nchi yetu. Siwezi kusema kwamba hakukuwa na corruption kabisa ila those expertise walijitahidi sana ku-keep these companies productive and efficient.

  The problem kubwa ya policies za hapo nyuma ni some how haya makampuni yalikuwa na say too much na effect moja wapo ilikuwa kuna some how ubaguzi ndani ya haya makampuni i.e. europeans walikuwa wanaishi kwa kujitenga na kujizungushia fences (racial discrimination) na kujilipa mishahara bora kuliko wananchi kitanzania hata kama wanaelimu sawa. Thats a little background on sugar policies.

  Tukirejea kwenye sugar crisis, serikali kipindi cha mkapa ndicho kimeleta hii situation mbaya Tanzania. Hivi viwanda vya sukari viliuzwa kwa thamani za chini na kuna evidences nyingi hata walionunua first they didn't pay all some of money na kikubwa most of them never operated nor have capacity to run sugar factories. The say thing here, serikali inaonekana kumiliki hisa ndani ya haya makampuni lakini wanaoongoza na kufanya maamuzi yote ni management za haya mafisadi, hiyo ndio mikataba aliokubali mkapa. Huu ndio ufisadi wa mkapa na wahuni wenzake. Sasa hivi hakuna production ukilinganisha na miaka ya hapo nyuma na mbaya zaidi viwanda havina uongozi mzuri. Tukirudi nyuma kidogo, I can prove what I am saying that Tanzania was among major sugar producers in Africa. Tulikuwa tuna grade mbalimbali za sukari na kuweza kuuza inchi za Europe. The fact kwamba hii ilikuwa ni trade na ilisaidia kuleta revenue katika serikali. These kinds of efforts ndizo zinachangia kuiprove currency ya Tanzania sio policies za Ndulu BOT. Sasa hivi wafanyakazi wanagoma kufanya kazi kwa malipo ya chini na viwanda vime-fail kabisa kitaifa. Kikwete aulizwe uzalishaji gani unapatikana kwenye viwanda vya sukari sasa hivi? Uuzaji wa mashamba na ardhi na serengeti advisers utasaidiaje watanzania in long term? At the same time Tanzania inaonekana she has potential to biofuel, Je huu uzembe ulifanyika katika ku-privatize viwanda vya sukari uta-prove kitu gani katika industries nyingine? I am sure regina anaweza kutoa insight zaidi kwani pia anaelewa hii issue zaidi, just a shout out!

  http://allafrica.com/stories/201009100038.html

  http://sugarinds.blogspot.com/2010/07/study-tanzania-has-big-biofuel.html

  Kwa ufupi ni kwamba femine ya sukari na hali nyingine mbaya ya uchumi bado zina loom na zikifika kwenye vitongoji vyote ndipo kikwete mwenyewe atakimbilia Saudi.
   
 13. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mimi nadhani haya maandamano tuyapeleke wizara ya kazi na vijana, yaani hawa ndio watanzania wenzetu, hali bora na maisha bora kwa kila mtanzania? kikwete please come on dude
   
Loading...