Dalili 10 zinazodhihirisha serikali ya awamu ya 4 imeshindwa kuongoza nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili 10 zinazodhihirisha serikali ya awamu ya 4 imeshindwa kuongoza nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gayo, Aug 27, 2011.

 1. g

  gayo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  1. Wanyama kusafirisha nje ya nchi kinyemela
  2. Bajeti za wizara 3 kukataliwa bungeni
  3. Kuchangisha taasisi zilizo chini ya wizara ili bajeti ipite
  4. Ukosefu wa umeme nchi nzima
  5. Garama za maisha kuwa juu kutokana na uzembe wa watendaji
  6. Waziri mkuu kudanganya bunge mara kwa mara
  7. Safari za raisi kwenda nje ya nchi zaweka rekodi duniani
  8. Mauaji ya Albino
  9. Mauaji na unyanyasaji wa raia mgodi wa North Mara
  10. Jaji mkuu A.Ramadhani kuondolewa ulinzi kinyume cha sheria
   
 2. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  weka neno moja kuwakalisha hapo kumi,
  serikali imepokwa madaraka yake na MAFISADI NA WARANGUZI
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wafanya biashara wa mafuta walivyogoma kuuza mafuta.
   
 4. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kweli kwasasa hatuna uongozi ila kilichobaki tujiongoza cc wenyewe wananchi
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama nchi hii ingekuwa ndege, basi tungesema ipo kwenye auto-pilot
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280

  1. Wanyama kusafirishwa nje ya Tanzania hakujaanza awamu ya 4 na hiyo ni sheria ya nchi iliyokuwepo kabla ya awamu ya 4. Tunaona awamu ya 4 ndio imesitisha kusafirishwa wanyama nje. Kwa hili umenoa!

  2. Bajeti za wizara 3 kukataliwa, hii inaonesha ni vipi demokrasia ilivyokuwa wakati wa awamu ya 4, na hakuna kila kitu hewala. Hizo ndio ahadi za Kikwete za kuikuza demokrasia. Thubutu awamu zilizopita yawepo hayo. Hili pia umenoa!

  3. Hii ni kawaida kabisa ya wizara zote, kuhamisha fedha kutoka idara moja kwenda kwingine, wala hakuna cha kushangaza, labda ioneshwe kuwa hizo fedha zilizohamishwa hazikutumika ipasavyo. Mkaguzi Mkuu wa mahesabu wa Serikali (CAG) kaona hakuna hatia, tuwaachie na kamati ya bunge lenyewe ije na majibu baada ya uchunguzi. Hili pia umenoa!

  4. Ukosefu wa umeme nchi nzima haukuanzia awamu ya 4, hili ni tatizo sugu toka enzi za nyerere na kabla yake. Watanzania (usione wewe uko mjini unapata umeme ukafikiri ni Watanzania wote wana umeme) chini ya asilimia 20 ndio wenye umeme. Tumeona awamu hii ya 4 ikilishughulikia tatizo hili kuliko awamu yoyote ile, mpaka sasa mikataba iliyokwisha sainiwa na kazi zilizoanza ni zaidi ya 3,000MW za umeme. Haijawahi kutokea Tanzania. Hili pia umenoa!

  5. Labda wewe ndio mzembe wa kufikiri. Dunia nzima gharama za maisha zimepanda, Tanzania ni moja katika nchi ambayo gharama za maisha zimepanda kidoogo sana (non significant) ukilinganisha na nchi zingine. Husomi habari za dunia wewe? Merekani na Yuropa kuna balaa la kichumi huko? Na huko anaendesha Kikwete? unanchekesha! Na hili pia umenoa.

  6. Sasa wewe ndio muongo, tuoneshe ni wapi alipodanganya? au ukisema tu, muongo basi tukukubalie, leta ushahidi, kama hauna ushahidi basi ndio muongo wa kutupa. Hili pia umenoa!

  7. Tuoneshe hiyo rekodi ya dunia aliyoweka, Pia kaweka rekodi ya dunia kwa kufanay ambayo hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kuyafanya, mashule, mabarabara, mitandao ya kisasa mpaka vijijini, vyuo vikuu kibao, wageni wa nje wanazidi, viwanda vingi sana kupita awamu yoyote. Unafikiri anakwenda nje kuzurura tu? kumbe bado ni mwanjo mwanjo? ukiona mtu anasafiri unajuwa anakwenda kustarehe tu? huna maanda hata kidogo. Umenoa!

  8. Albino wameanza kuuliwa wakati wa Kikwete? unanchekesha! hayo matatizoa kayakuta na yeye ndio kayakomesha, unanini weyee?

  9. Majambzai wanaovamia mgodi ulitaka wafanywe nini? au huna habari wewe? uliza sasa wale waliofukiwa na Mkapa mbona husemi na wala hujawahi kusema au kwa sababu yeye ni Benjamin? Umenoa.

  10. Kwwa hiyo haya ya Jaji ulitaka Rais awajibishwe? mbona Nyerere kamuondolea ulizi Jumbe hujasema? mbona mkapa alimuondolea ulinzi Mwinyi hujasema? au Kwa sabau wale ni Julius na Benjamin na huyu Jakaya?

  Wacha kufikiri kwa mananihii, njoo na hoja zinazoeleweka sio unakuja na majungu yasiyo na mpango. Unanini weyee?
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye nyekundu umekosea, hata lugha yako huijui halafu leo unataka kutueleza nini katika mambo ya uongozi wa nchi? Unanchekesha!
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hazitoshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. g

  gayo JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bwana FaizaFoxy unajibu hoja kwa kulinganisha na uozo mwingine, unaleta hoja za magamba hapa.. Inabidi ukapate kozi moja inaitwa "CRITICAL THINKING AND LOGICAL ARGUMENTATION"..
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Bi Gayo, wewe achana na mimi jibu hoja zangu kama huwezi kujibu hoja kaa kimya! Unanchekesha!
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  achana na faiza kashalewa futari,sio akili zake ni kachori izo
   
 12. Nicodemas

  Nicodemas Member

  #12
  Aug 28, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  ndo matatizo ya kufikiri kwa kutumia makalio haya.
   
Loading...