Kijiwazo cha leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijiwazo cha leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Aug 27, 2011.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Anayeweza kukataa kuwa sasa hivi nchi yetu ina viongozi wenye fikra chovu na walio lewa na kuvimbiwa madaraka kuliko wakati wowote wa historia ya taifa hili atakuwa hana tofauti na mwenye nyumba anae dhibiti au kuziba
  mashimo ya panya kwa vipande vya mikate, Halafu anatoka barazani na kuketi kwenye kiti cha uvivu huku akijisifu na kujifariji kwa kunywa mvinyo wa zabibu.
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu unamuongelea Pinda! wala hujakosema PM eti ana a.k.a ulishawahi kusikia wapi hii?
  a.k.a eti mtoto wa mkulima to me is (kigeugeu)
   
Loading...