Kauli hii ya spika Anna Makinda Inashangaza

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Wadau
wakati wa kipindi cha bunge cha leo Letcia Nyerere alitaka Mkulo ataje makampuni yaliyopata pesa za stimulus package, Kilichonishangaza ni pale spika aliposema "Wizara mmeniangusha kwa kuwa mlipewa miezi miwili", Najiuliza kwani yeye ni sehemu ya serikali? au hajijui kuwa yeye ni mbunge anayetakiwa kuisimamia na kuishauri serikali na sio kujifanya kuwa sehemu ya serikali.
Wadau mnasemaje

Bi Kiroboto yumo yumo tu, mradi siku zinaenda. Sijui hata kama anafahamu kwamba anatakiwa asimamie upande upi

Ameongea vizuri tu hakuna kosa hata kidogo. Kosa umefanya wewe kwa kutomuelewa vizuri anamaanisha nini.

Niambie kivipi sijamuelewa, navyoelewa spika amechaguliwa na wabunge ili awaongoze katika kuisimamia na kuishauri serikali. Hapa sema lako wana jamvi tulione

Hata nikieleza bado hutaelewa kwasababu ID yako yenyewe inaonesha bado hujazaliwa. Una miaka minus 4.

Ngoja nisihangaike na ww, nishakuona huna uwezo wa kuchambua mambo, ulitakiwa useme sijamuelewa hapa na hapa na sio kuja na eti ID yangu inaonesha sijazaliwa, kwambia nani hii ID inamanisha mwaka wa kuzaliwa, Tumia akili kufikiri na sio masaburi, na uache kuchafua hii post huna la kujibu weka masaburi yako chini

Ameongea vizuri tu hakuna kosa hata kidogo. Kosa umefanya wewe kwa kutomuelewa vizuri anamaanisha nini.
Kweli kabisa kwani yeye certainly ni sehemu ya serikali. Pia anafurahi pale kila mbunge au waziri anapotimiza wajibu wake kwani kazi yake inakuwa rahisi.

ulinifurahisha juzi Jairo aliporudishwa kazini kihuni na mhuni mwenzake. Pale niligundua akili zako zilikusaidi. Lakini naona sasa umeanza kuazima kichwa cha mwendawazimu. Hivi lini utaacha kupinga haki na ukweli wewe? Nimeamini Mungu ana watu wengi sana

Najua una hasira kwasababu nimekufundisha kiswahili kule.

Hata nikieleza bado hutaelewa kwasababu ID yako yenyewe inaonesha bado hujazaliwa. Una miaka minus 4.

wewe ukisoma namba unadhani ni umri tu. Mkurya gani shoga jamani?

Kweli kabisa kwani yeye certainly ni sehemu ya serikali. Pia anafurahi pale kila mbunge au waziri anapotimiza wajibu wake kwani kazi yake inakuwa rahisi.

Mmmh mmmmh bi kiroboto hayuko kama we unavyofikiria.......

ameongea vizuri tu hakuna kosa hata kidogo. Kosa umefanya wewe kwa kutomuelewa vizuri anamaanisha nini.
mwita mpaka muda huu hela za nape umezitafuna hasa. Endelea hivyohivyo kusifia utumbo wa magamba mradi mkono wako uende kinywani.

Wadau

wakati wa kipindi cha bunge cha leo Letcia Nyerere alitaka Mkulo ataje makampuni yaliyopata pesa za stimulus package, Kilichonishangaza ni pale spika aliposema "Wizara mmeniangusha kwa kuwa mlipewa miezi miwili", Najiuliza kwani yeye ni sehemu ya serikali? au hajijui kuwa yeye ni mbunge anayetakiwa kuisimamia na kuishauri serikali na sio kujifanya kuwa sehemu ya serikali.

Wadau mnasemaje

huyu mother ametupa mwanga juu ya uelewa wake. Mpaka hapo alipo hajui kazi yake hasa kabisa ni nini

Hata nikieleza bado hutaelewa kwasababu ID yako yenyewe inaonesha bado hujazaliwa. Una miaka minus 4.

Kwa maneno yako haya nadhani nimeelewa kuwa humu huwa tunawasiliana na mtu mfu maana ID yako in 25 hivyo ulizaliwa AD25. Nahisi ulikuwa mmojawapo wa waliomsulubisha Kristo. Maana hoja zako zote huwa sioni uzalendo ila tabia za kirumi rumi tu.

Back
Top Bottom