NCHI INAMEZA WATU WAKE: Usipokufa njaa utakufa kwa stress nakwambia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NCHI INAMEZA WATU WAKE: Usipokufa njaa utakufa kwa stress nakwambia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabry001, Aug 28, 2011.

 1. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hamjambo hapa jukwaa la stress? Me niko na stress, inayotokana na hali inavyoendelea hapa Tanzagiza nadhani kimojawapo hapo juu kitatuua.

  Imagne una kamradi kako kanategemea kuendeshwa kwa umeme then haupo, mafuta ndio mbadala nayo bei juu, vyakula vimepanda bei, pesa haina thamani....halafu rais wako ndo ivo tena ye hajali tu na kusafiri kila siku...hospital dawa hakuna, dawa zikiwepo daktari hakuna au wrong prescription....juzi mwanao kafungwa kwa kuiba muhogo akapoze njaa halafu wezi wa rasilimali za nch wapo nje wanapeta...wanafunzi bumu lao bado kupata wajanja wanafanyia biznez kwanza....!

  Was just thnking aloud may be kuna mtu ako na solution ya haya...ni nani? Yuko wapi? IF WE MUST DIE LET US DIE LAKINI SIO KUFA KIBUDU....LET THEM SLAUGHTER US....anyway!
   
Loading...