Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Brooklyn, Aug 26, 2011.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Baada ya waziri Wasira kuikashifu kambi rasmi ya upinzani na baraza kivuli la Mbowe, kumezuka mabishano makubwa na kutupiana vijembe kwa ukali na kwenda mbele zaidi kutumia maneno yasiyo na busara.

  Mh. Mbowe kaonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa kwa kuvumilia matusi ya waziri.

  Zogo lilianza pale Mh. Mbowe aliposema serikali iliyopo madarakani ni DHAIFU.
   
 2. A

  Amanyisye Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika kipindi cha tuongee jambo Tanzania cha TBC leo asubuhi Wasira amejaa kasira sijui kwa sababu gani hasa,au sababu alishindwa kujibu hoja za mh mbowe!
   
 3. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimeamka asubuhi late nakutana na Mbowe na Wassira TBC 1 jambo Tanzania. Sijajua hasa yaliyojiri ila nilichoona ni kuaniki kwa Mh Wassira!

  Anasema Chadema ni chama cha ajabu cha upinzani maana kinakosoa kila kitu, hakijawahi kukubaliana na serikali hata siku moja. Anasema

  Mbowe hana baraza la mawaziri (vivuli) coz they are so weak. Kwamba Mbowe hana serikali. Kwamba Chadema ni chama cha maandamano tuu

  na hawataki amani. Nadhani alikuwa anakana kuwa bajeti ya serikali haijafumuliwa!

  MAJIBU YA MBOWE
  Mbowe kwa upole amesema anamheshimu Wassira na hivyo hataki kuingia kwenye malumbano naye. Kwamba wao wanapata muda mdogo mno

  bungeni na hivyo wanautumia kuishauri serikali zaidi kuliko kuisifia. Wassira alipong'aka na kutaka kama vile kukasirika, Mbowe aliseama 'Hawa

  nido mawaziri wetu, hii ndio serikali yetu'? Halafu akauliza kama wassira anasema mbowe hana mawaziri kwani sasa hivi tunaserikali?

  Nawasilisha wakuu, aliyeona toka mwanzo atujuze yaliyojiri zaidi. Thank you
   
 4. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asubuhi hii nimeangalia tbc,kulikuwa na mjadala ulimuhusisha Mh Mbowe na Wassira!

  Mbowe akatoa hoja kuwa serikali ya CCM ni dhaifu, ilishindwa kuangalia maswala muhumu wakati wa bajeti, hasa ya Nishati,na ya uchukuzi, ndio maana walitupiwa vitabu vyao.

  Wassira akapandwa na jazba, akaanza kutukana kuwa mawaziri vivuli wote ni mbumbumbu na CHADEMA si wapenda amani na mengine mengi! Mbowe naye akachombeza!'Hii ndio serikali yetu na hawa ndio mawaziri tulio nao!
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  huyu wasira ana ugonjwa unamsumbua, bora azungumze ovyo asije akasinzia hapo studio maana hachelewi kuuchapa hapo hapo
   
 6. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hapo kamjibu kisomi zaidi
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu Wassira mzee wa kusinzia, mbona sijaona sehemu yoyote aliyotukana?
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nasikitika kusema mzee wassira amechoka kimwili na kiakili lakini bado ndio mtu anayeaminiwa na rais kikwete.

  Kwahiyo hapo utaona kwamba Mbowe hajakosea kumjibu kwamba hiyo ndio aina ya serikali tuliyonayo. Serikali iliyochoka kimwili na kiakili.
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,667
  Trophy Points: 280
  Mizeee mingine bana kazi yake kubwa ni kulala kama pono,akiamka tu ni kulopoka mtindo mmoja.
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  'Tyson' at work. Tatizo huwa analala sana bungeni, hajui yanayoendelea. Anashituka wakati wa posho tu.
   
 11. T

  Triple DDD Senior Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimemsikiliza sana, Katika mawaziri wa ajabu mmojawapo ni huyu. Yaani waziri anajazba kama mtoto, namshauri mheshimiwa mbowe akahamie Bunda ili ahakikishe jimbo lake linaondoka.
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hawa ndio mawaziri tulionao ni jibu zuri sana kwa WASSIRA
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
   
 14. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red Mbowe kaua kabisa, na sisi wananchi tumemwelewa vema
   
 15. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante Mh Freeman Mbowe kwa majibu ya Heshima bila utwana.
  Unaweza kupita pale Breakpoint wakati wowote upate chupa moja ya Johnwalker fo free .
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee kwa kweli amechoka kihoja ni muda muafaka kwake kupumzika.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Huyo mzee umri ndo umemfanya awe kama mtoto. Busara inazidiwa na vionjo vyake!
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hii ni kuthibitisha kwamba magamba mmechoka kimwili na kiakili. Unachokiandika hapa hata hakieleweki, umekurupuka bila shaka toka usingizini kama anavyokurupuka wassira. Wasilianeni na magamba mwezako unayekubaliana naye ili mje na tafsiri sahihi.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hivi Wassira ameamka?? maana last time nilimuona kalala bungeni
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  kweli ccm ni jua maana linachoma hadi mifukoni,..CDM ni kivuli cha watu kupumzika baada ya kuchoshwa sana na jua...you are a genius..props!!!
   
Loading...