An oil firm whose chief executive has bankrolled the Conservatives won exclusive rights to trade with Libyan rebels during the conflict, following secret talks involving the British Government...
Inasikitisha sana kuona mbadala wa uongozi wa Chadema Arusha ukipata misukosuko ya kubambikiziwa kesi ya kutishia kufanya mauaji kwa Meya feki wa Arusha.More news to come,lakini yawezekana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika
Chadema wamfikisha Mkuchika kwa AG
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Igunga imebeba turufu ya mafisadi na hili lazima walijue au wanalijua. Mafanikio ya CCM Igunga yanaweza kuwasha moto usiozimika wa kushughulikia Ufisadi au matokeo kinyume na ushindi yanaweza kuua...
Na Nova Kambota,
Namkumbuka mwanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi maarufu kama Afande sele na kile kibao chake cha "Darubini kali" anapohoji "kama unapenda pepo kwanini uogope kifo?"
Tungo...
Dunia nzima iko DAEGU , KOREA sisi tuna kila jumuia lakini hatishindi kitu sasa kama hakuna pesa za kuwaandaa wawakilishi wetu huko bas bora wizara ifungwe na kama ikiwa wazi bas tusishindane for...
Katika mambo ambayo JK ameyaongea vema na kwa uzalendo jana wakati akitoa hotuba katika Baraza la Iddi ni hili la viongozi wa Dini hizi mbili kubwa kutokulumbana wakati wa mchakato wa Katiba mpya...
WanaJF, Salaaam!
Jana nilipata fursa ya kusikiliza hotuba ya JK kwenye Baraza la Idd ambapo alitumiwa jukwaa lile kujibu baadhi ya "masuali magumu" ambayo hakika yamekuwa yakifanya liwepo ombwe...
Benki Kuu ya Tanzania imekua ikishirikiana na wafanyabiashara na wanasiasa wachafu katika kuwaingiza nchini wahalifu wa kimataifa na kwa kuanzia tunawafichua sasa wahalifu toka Nigeria waliopata...
WAKATI vuguvugu la siasa jimboni Igunga mkoani Tabora likiendelea kushika kasi, mgombea ubunge mteule wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Dk. Moses Edward, amejitoa kuwania nafasi hiyo ya ubunge...
Katika kuelekea uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga unaotegemea kufanyika hivi karibuni, kumepelekea kuwepo mikakati mbalimbali inayofanywa na vyama mbalimbali vya siasa katika kuhakikisha kuwa...
Wasalaaam wana JF,
Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini basi viongozi wetu (Mawaziri,makatibu wakuu wa wizara mbalimbali,wakuu wa mikoa na hata wa wilaya nk.) wamekuwa ni wagumu kwanza...
Habari za ukweli na si za kuokoteza..jana mara baada ya Waislam kusherehekea sikukuu ya idd kwa Raha kabisa mustareheee..,Wale ndugu zangu wa starehe za kupita kiwango yamewafika.
Wadada...
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na...
Mimi naona imefika wakati tuamue moja na kufuta cheo kimoja kati ya makamo wa raisi au waziri mkuu. Sioni mantiki ya kuwa na vyeo vyote hivi kwa wakati mmoja. Naamini kabisa waziri mkuu anaweza...
Maelezo Mengine Muhimu yaliyokuwepo katika Thread Hii nimeyahamishia katika Attached document ili kutoa urahisi kwa wanaotumia JF Mobile kubrowse kwa urahisi katika michango ya wanaJF
DONDOO...
Tumaini Makene na Grace Michael
PAMOJA na mkutano wa nne wa Bunge la 10 kumalizika kwa kutimiza moja ya majukumu yake ya kikatiba ya kuisimamia serikali ambapo imeunda kamati teule kufuatilia...
Najua kuna wabunge kadhaa wanatembela a hili jukwaa. Sasa binafsi nina maswali amabyo naamini wakazi wa majimbo wengi wanajiuliza na wangepend kujua majibu. Na wana jf wnaweza kuwa na maswali...
Mh. Membe ametoa karipio kali sana kuwa Libya bado haiwaitambui Serikali ya Rebel (NTC) na hata ameweza kuita Balozi wa Libya baada ya kuweka Bendera ya nchi ya Rebel kuwa wamekuika taratibu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.