Agosti 31 ya JK: Baraza la EID huko Dodoma kutumika kurusha makombora, usikose! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agosti 31 ya JK: Baraza la EID huko Dodoma kutumika kurusha makombora, usikose!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHOST RYDER, Aug 30, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Maelezo Mengine Muhimu yaliyokuwepo katika Thread Hii nimeyahamishia katika Attached document ili kutoa urahisi kwa wanaotumia JF Mobile kubrowse kwa urahisi katika michango ya wanaJF

  DONDOO MUHIMU - By


  ADIOS


   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ahadi zote hizo, hapa hakuna ujanja dawa ni kukaa kimya mpaka kipindi kiishe
   
 3. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Swadakta!. Naamini Jakaya atatumia muhadhara wa baraza la Eid kuwaambia Bakwata waache kuuza unga!. I expect this from my president.
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hii ni dharau kwa WaTZ, hajaongea na Taifa kwa muda mrefu, leo anataka kuhutubia taifa kupitia kwenye baraza la Eid!! It must be more official than this, watu wakija kuhoji baadhi ya kauli utasikia "Alikuwa anaongea na BAKWATA"
   
 5. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kwani wewe bado wafuatilia hotuba zake? Mie sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa ni lini kuzisikiliza, hotuba zilikuwa za mzee Ben bwana ukiikosa kesho lazima utaikuta kwenye magazeti lakini ya huyu ustaadhi huyu wala hata sijihangaishi kupoteza mda wangu kusikiliza hotuba zake
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...........................Nachosubiria ni kauli kama hizi;
  1. Kumeanza kuonekana chokochoko za udini kwa Taifa letu....
  2. Naomba tuheshimu utawala wa katiba,wananchi wamekikubali CCM wamekipa dhamana ya kuongoza....na si vinginevyo...(Hapa atakuwa anaogopa jinamizi lililowakuta akina Gaddafi na wenzake)
  3. Lazima Gaddafi atajwe kwasababu ni rafiki yake mkubwa...
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Yes, leo ni mwisho wa mwezi lakini leo sikukuu ya EID kwa waislam. Kwa rais kutumia hii siku kwa mambo yake ya kisiasa ni kuwakosea waislam wenzake heshma and very selfish of him. Angeweza kutuo hotuba jana, lakini sio ku-hijack sikukuu ya dini kwa kwa siasa zake. Kama kweli atafanya hivyo basi kuna kila dalili kwamba rais wetu anatumia dini (again) kujificha. He is playing the victim game. Na hawezi kujitetea kuwa anatoa monthly speech kwa sababu hajawa consistent kwenye hili. Imepita zaidi ya miezi 5 sasa tangu atoe speech kwa hiyo hawezi kuja na hoja ya monthly speech.

  Waislam nao wanabidi wawe waangalifu, maana wanaonekana kuruhusu dini yao kuwa contaminated na malumbano ya kidunia/siasa badala ya kujikita zaidi kwenye mafundisho ya dini. Let's wait and see kwanza kabla sija-comment zaidi.

  Hata hivyo niwatakie Eid Mubarak waislam wote & I hope you have a blessed day.
   
 8. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  sifurahii hata kidogo namna rais wetu anavyoiongoza nchi hii lakini pia nashidwa kuwaelewa wachangiaji flanii flani katika jukwaa hili ambao wanageuka kuwa watabiri na wasemaji wa rais. si haki kumtia maneno mdomoni kuwa rais atasema ....... katika sikukuu ya leo. tumpe nafasi aseme mwenyewe ili tuweze kujadili hotuba yake. tuache majuku na tutumie jukwaa hili kujenga na si kuleta fitna na umbea bila sababu. let us make jf a forum of great thinkers.
   
 9. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama hatakuwa na kuongea bora akanyamaza maana zile kauli zake tata huwa zina madhara makubwa mfano ile ya chama kimepoteza dira hivyo lazima kijivue gamba..hilo gamba limemrudia nape kwani rostam anaoneakana ndio atakuwa msemaji iginga na Nape haruhusiwi kukanyaga igunga
   
 10. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni saa 10 alasiri, muhimu sana kusikiliza Hotuba hii
   
 11. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Great thinkers always think outside the box, dont be cycle minded BRO. Kachangie kwenye forum ya Celebrities seems politics game for you it meas something different
   
 12. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Udini umetawala sasa, unafiki na mambo mengi atajikosha leo
   
 13. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kama washauri wake watapita katika thread hii wanaweza kumpa hili angalizo ni muhimu sana kuliko kuchanganya mambo leo katika maadhimisho ya eid el fitr
   
 14. Z

  Zenji Member

  #14
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma maoni tofauti, lakini nimegundua UDINI na CHUKI binafsi kwa wachangiaji zinawasumbua sana. Mnatakiwa msijifikirie nyinyi (i.e WAKIRISTO) tu, pia waislamu wanahaki kama walivo wakiristo ndani ya nchi hii.
  Wacheni ubinafsi wenu wana JF.

  Wassalaam.
   
 15. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kinachozungumwa hapa c uislamu au Ukristo, JK 2005 alikuwa bado Muislamu Wakristo walimpa kura zaidi ya Waislamu sasa nani anleta udini, tukubaliane moja kuwa JK ameharibu kuharibu kwa JK c kuharibu kwa Uislamu,wale kufeli kwa JK c kufeli kwa Uislamu. Ila jk amekuwa akitumia Uislamu kama njia ya kujihami ili wale wakosoaji waseme ate anakosolewa kwasababu ya dini yake.
   
 16. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  At 4pm nitamsikiliza kwa mara ya kwanza tangu miaka 3 iliyopita kama Ngeleja, Jairo hawatambelea mitaa yetu. then ntakuwa kwenye nafasi ya ku coment
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ngoja tumsikilize akihutubia bunge lake la mashehe!
   
 18. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Umenifurahisha kwa kweli
   
 19. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Despite mapungufu ya hapa na pale ni Mkuu wa Nchi na Heshima yake inadumu. Ni Muhimu kusikiliza Mkuu kujua kama mtawala nini agenda yake ya kuleta mageuzi katika Taifa na kuondoa Tatizo la kimfumo linalochangia kuporomoka kwa Uchumi na kufuatiwa na pacha wa tatizo hili akina njaa, maradhi, ujinga na umaskini unaoshamiri kuliko maelezo ya kawaida kwa watanzania.

  LIVE UPDATE ZOTE ZITAPATIKANA HAPA FROM DOM
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huyu bro anashndwa tu kukiri kuwa gemu gumu. Kitendo cha kushndwa kutoa hotuba kwa miez kadhaa ni ishara tosha kuwa hana jipya la kusema. Anaona aibu kwa aliyoyatenda. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
   
Loading...