Maswali kwa wabunge wote - bila kufuata itikadi za vyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali kwa wabunge wote - bila kufuata itikadi za vyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Aug 28, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Najua kuna wabunge kadhaa wanatembela a hili jukwaa. Sasa binafsi nina maswali amabyo naamini wakazi wa majimbo wengi wanajiuliza na wangepend kujua majibu. Na wana jf wnaweza kuwa na maswali. megine

  Nyie wabunge wa JMT mnapata nafasi nzuri ya kuhoji, kukosoa , kusifia na kuishauri serikali. Sisi wananchi tunapenda tupate nafasi ya kuwhoji kukosoa,kusifia kuwahsauri nyie wabunge kuhusu mambo mbali mbali katika majimbo yetu. Mnaitoa hiyo nafasi???????

  Je wewe mbunge

  • Number yako ya kiofisi inajulikana kwa wapiga kura wa kawaida?
  • Una ratiba inayojulikana kwa wanajimbo utakuwa kwenye ofisi yako na hivyo wananchi kuja kuonana nawe kwa issue mbali mbali ?
  • Una ratiba rasmi ya kutembelea maneno fulani ya jimbo lako uliyopanga miezi sita kabla au unafanya safari za kushtukiza na kusbiri Rais na PM na matukio kama maafa na sherere ?
  • Unatumia japo siku 60 kati ya 365 za mwaka katika mkoa,wilaya ya jimbo lako?. Una makazi rasmi jimboni au wilayani kwako?
  • umeaonyesha uwazi na uwajibikaji katika kutoa taarifa matumzi ya pesa za mfuko wa CDF wa jimbo lako kwa kuchapisha ( Kwenye magazeti au ofisi za wialaya na madiwani) matumzi kila baada ya miezi mitatu au sita?
  • Unajua takwimu mbali mbali zianhusioana na wialaya au jimbo lako. mfano mambo kama GDP ya wilaya au mkoa, maradhi, ujinga vif vya mma na watoto mlipa kodi mkubwa. Mpokea mshahara mkubwa na mpokea mshahara mdogo etc..... ( NB wabunge wengi wanatumi tkwimu za kitaifa kitu ambacho ni Kosa)

  Haya shusheni maswali kwa wabunge wetu bila kuweka itikadi za chama mbele. Inabidi tuwabane wabunge ili nao waweze kuibana vizuri serikali. Wawe wa CCM CDM, NCCR au CUF htutakiwi kuwachekea.


  Nawasilisha
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hayo kwa mbunge wa kibongo hayafanyi. Hayo labda wakat wa kampen.
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Hahahhaa Sasa zile ofisi ambazo seriai inatumia gharama kukarabati za nini? Alafu

  • wabunge wanakariri GDP ya taifa badla ya kufaiti DGP za wilaya na majimbo yao .
  • Wabunge wachache wanajua BIG taxpayer kwenye jimbo au wilaya yake.
  • Wabunge wanaweza wasijue best paying job kwenye jimbo au wilaya au hata mkoa.( Ukitoa dar mwanza na Arusha utakuata ni mbunge)
  • wabunge wachache wanajua kiaisi cha mazao ya chakula kilimo na mifugo kinachozalishwa au kuhitajika kwenye wilaya zao kwa mwezi au kwa mwaka.
  Kwa uwa wametoka mjengoni sasa ni zamu ya sisi wananchi kuwabana
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hayo maswali ni magumu mno kwa wabunge wetu!! Hivi GDP ni nini hiyo? Mimi ni mbunge ila najua kusoma na kuandika tu kwa kuwa elimu yangu ni ya msingi!! Sasa kwa maswali kama haya utakuwa hututendei haki!! Mimi najua tunawaongoza watu wetu vizuri bila kuzingatia maswali yako hayo magumu.
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Very usefull leason. mwenye macho hambiwi tazama. wasipozingatia haya imekula kwao 2015
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  GDP tunazosomea na kuaambiwa mara kwa mara ni za kitaifa sasa ni vizuri wabunge watumie wasomi mbali kupata specific statistica dat za wilaya ai mikoa yao. GDp ni wastani wa pato la kila mwananchi. Sasa walete katika level ya wilaya.

  Sio vibaya mbunge kujua best and worst paid employee owr werker kwenye wilaya yake na kampuni au shirika analofanya kazi. Mi nachukuia kuona wbaunge wanatumia data za kitaifa sana na wengi hawana statistical data mbali mbali za wilaya au mikoa yao. iwe ni chakula. michezo, elimu, afya, maji, mifugo kilimo. magonjwa
   
Loading...