00:59:00 - T : The Countdown... Light.. Action... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

00:59:00 - T : The Countdown... Light.. Action...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 1, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nini tena hii mkuu??????/
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu sijakusoma, nilichofanya nimejiliwaza kwa kusoma signature yako maana hapo naelewa,
  ngoja tuone ukirudi, ila naisi kama kuna mabadiliko baraza la mawaziri, au hii tic tec ni ya nini?
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Vipi tena CCJ imefufuka nakumbuka wakati unaitangaza ulianza hivihivi kwa kututisha..na katiba yake.
   
 5. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamaa anatuacha hewani, cjui anamaanisha timbwili timbwili la Igunga, au ndo hivyo kama tulivyoahidiwa kuwa baada ya bunge Kiwete atavunja baraza la mawezi. Mmmh, mii sijui bwana nasubiri wadau mtoe majibu
   
 6. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Chemsha bongo na starehe
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Labda kifo cha Gaddafi
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hata mwaka bado abadilishe baraza hawaamini?
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  ahadi ya PINDA vs umeme?
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kisiasa? Kiuchumi? Kiutamaduni?...
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  kama kuna watu wamechaguliwa kufanya kazi na hawafanyi wakati mwingine inabidi wasukumwe kidogo... I mean tutaendelea kuwaomba mpaka lini?
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,683
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  Ushapata kibaraza na godoro?....Maana inaonyesha unataka kufanya mambo ya Anna Hazzare!!
   
 14. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Maandamano
   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,551
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Mkuu huwa unanikumbushianga sana GT,huyu jamaa mna similarities nyingi sana.Hii ni safi sana kwa JF.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  waliowachagua wao wanafanyakazi au ni magwiji wa lawama tu?.........hivi baada ya kumchagua mtu waweza kweli kumsukuma au kumfuta kazi ili waliobaki washtuke?
   
 17. K

  KAMALELA JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu vipi tena tuambizane basi, au ndo Lowasa amekubali kuachia ngazi!?
   
 18. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mzee mwanakijiji ni watanzania wachache sana wameamka na kuiweka Tanzania Moyoni katika hao wewe ni mmoja wao. Nimeanza kufikiria na kujiandaa na count down kwani naweza kupangiwa jukumu siku ile ikija
   
 19. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #19
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa Mkuu tuko pamoja,Nimeanza ku count down, Hours are numbered!! Eid Mubarak
   
 20. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kazi kweli kweli...hata moja hakuna aliyeambulia..damn!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...