Ugumu wa kulibakiza jimbo la igunga utweza kuathiri harakati za ccm kujivua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugumu wa kulibakiza jimbo la igunga utweza kuathiri harakati za ccm kujivua gamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mghaka, Aug 31, 2011.

 1. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Igunga imebeba turufu ya mafisadi na hili lazima walijue au wanalijua. Mafanikio ya CCM Igunga yanaweza kuwasha moto usiozimika wa kushughulikia Ufisadi au matokeo kinyume na ushindi yanaweza kuua kabisa nia kujivua gamba
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Tayari imeshahathiri vita dhidi ya ufisadi kwa kitendo chao cha kwenda kumpigia magoti Fisadi Rostam aende kuwasaidia hii inaonyesha kuwa CCM siyo chama cha principal when it comes to political victory wameweza kuyalamba matapishi yao kwa ajili ya kupata kiti cha ubunge na kusababisha hata wale ambao walikuwa wakipambana na ufisadi ingawa ni kwa maneno matupu wakina Nape na Katibu wa CCM kuonekana ni wasaliti na hivyo wasionekane huko Igunga kwa ajili ya kumpendezesha Fisadi Rostam.
   
 3. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa staili hii CCM haipaswi kuaminiwa tena, kwani ni ndumilakuwili. Wanahitaji jimbo la Igunga zaidi kuliko kusimamia misingi ambayo wametwambia ni mkakati wao kichama ili kukirejeshea mvuto. Kama wameimba wimbo wa kujivua gamba na kumtaja Rostam kuwa ni mmoja wa makada ambao wamekipotezea chama mvuto kwa vitendo vyao vya ufisadi halafu leo tunaona vichwa vya habari vya magezeti vikituambia RA atakuwapo siku ya uzinduzi mimi naangalia tu wenye chama chao watuambie kwani tunao humo kwenye jamvi.


  Kwamba jimbo la Igunga limebaki wazi kwa sababu ya dhana ya kujivua gamba sasa usafi wa Mkapa uko wapi? Au katika hili yeye ni nafuu kulinganisha na makada waliobaki? Chonde sana sana tumieni nafasi hii katika jimbo la Igunga kufafanua msimamo wenu hata kama gharama yake ni kupoteza jimbo lakini watanzania watakuwa wamewaelewa. Better to loose but maintain your political integrity than win and loose your political integrity. Kindly dont contradict yourself as it will haunt you in the long run indefinitely.
   
 4. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,556
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Na huyo Rostam si alisema ameamua kuachana na hizi gutter politics ili ajikite zaidi kwenye biashara zake?Sasa kampeni igunga ni moja ya hizo biashara au ni muendelezo wa kuwa sehemu ya hizo gutter politics?
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Rostam Kigeugeu.........
  Kikwete kigegeu...........
  CCM kigegeu..,..
  Wananchi tujihadhari tusije tukawa vigeuge.
   
 6. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watanzania tungekuwa weerevu,tungekuwa mbali sana kimaendeleo.Au ndo kule kusema mtoto wa nyoka ni nyoka??.Usani wa viongozi wetu hakika umetufanya tuwe vilema kwenye kila nyanja..Hakika bila kuweka mkakati wa kujitambua awe mzee au kijana wa kike au wa kiume hatutokii ng'o.watatoka hao hao wanaojiita magamba.....utazaliwa ,utakuwa,utazeeka na utakufa bila kuwa na chochote.Ukipata ujue umefanya mianders kukipata.ELIMU,AFYA MIUNDOMBINU,AJIRA...HOVYOOOOOOOOOO.

  POLENI SANA NDGU ZANGU WATIZEDIIIIIIII.......Kazi ipo.
   
 7. m

  matawi JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Point sana
   
 8. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hicho ndio kipimo cha uelewa wa wananchi wa Igunga. Yangu macho walihaidiwa kupata maji ya ziwa Victoria mpaka leo ni kitendawili.
   
Loading...