Serikali ya CCM yatumia vitisho kwa Viongozi wa CHADEMA Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM yatumia vitisho kwa Viongozi wa CHADEMA Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Sep 1, 2011.

1. G

Giddy Mangi JF-Expert Member

#1
Sep 1, 2011
Joined: Feb 14, 2011
Messages: 833
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Inasikitisha sana kuona mbadala wa uongozi wa Chadema Arusha ukipata misukosuko ya kubambikiziwa kesi ya kutishia kufanya mauaji kwa Meya feki wa Arusha.More news to come,lakini yawezekana Ukombozi umekaribia na mabadiliko lazima yatokee hakuna nguvu ya kuzuia mabadiliko kitu ambacho Ccm na Serikali yake hawalifahamu.MAKAMANDA MSIOGOPE MUNGU YUU UPANDE WENU.

2. Ziada Mwana

Ziada Mwana JF-Expert Member

#2
Sep 1, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 201
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Jengeni Msikiti/Kanisa la CDM ili mungu awatambue.

3. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#3
Sep 1, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,329
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Hii habari haieleweki. Kama ulikuwa unaogopa kuielezea vizuri au haujakamilisha habari yako, usingeipost kwanza hii thread! It is useless!

4. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#4
Sep 1, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,329
Likes Received: 210
Trophy Points: 160

Huu ni upuuzi mtupu! Inaonekana umeamka nazo dada!?

5. Barubaru

Barubaru JF-Expert Member

#5
Sep 1, 2011
Joined: Apr 6, 2009
Messages: 7,162
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Chadema mbona kila wakti mnakuwa watu wa kulalama tu. Au mnaogopa vivuli vyenu?

6. MTAZAMO

MTAZAMO JF-Expert Member

#6
Sep 1, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 12,503
Likes Received: 5,616
Trophy Points: 280
nimekuja Arusha mara moja,nilikuwa nasikia tu kuwa hapa usimseme vibaya Lema ukasikika na vijana nimeamini.nimepita sehemu nikakuta kikundi cha wauza miwa wakisema Lema kawaokoa na usumbufu wa askari wa jiji.

7. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#7
Sep 1, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280

kawaokoa kwa kufuata sheria au kwa kuvunja sheria.

8. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#8
Sep 1, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 12,000
Likes Received: 2,655
Trophy Points: 280

AMA KWELI NIMEAMINI WEHU NI WENGI SANA TANZANI POLE SANA.

9. m

matawi JF-Expert Member

#9
Sep 1, 2011
Joined: Mar 29, 2010
Messages: 2,055
Likes Received: 11
Trophy Points: 135

Umejuaje jinsia yake?

10. Mungi

Mungi JF Gold Member

#10
Sep 1, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 443
Trophy Points: 180
Gidi Mangi

hebu tupe habari kwa ufasaha mkuu, tumechoshwa na vitisho vya serikali ya ccm, hata mahakimu itafikia wakaamua kumwaga ukweli kwa kufuata sheria bila kuonea.

11. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#11
Sep 1, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,329
Likes Received: 210
Trophy Points: 160

Nimesoma na dada anayeitwa Ziada!

12. Mimibaba

Mimibaba JF-Expert Member

#12
Sep 1, 2011
Joined: Jul 1, 2009
Messages: 4,566
Likes Received: 7
Trophy Points: 0

Mimi nadhani Shetani anaitambua CCM, ni kwa sababu hamjajenga kanisa inayowafanya nanyi mtambulike

13. Mimibaba

Mimibaba JF-Expert Member

#13
Sep 1, 2011
Joined: Jul 1, 2009
Messages: 4,566
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Anayeogopa kivuli chake ni wewe na CCM

14. Jembe Ulaya

Jembe Ulaya JF-Expert Member

#14
Sep 1, 2011
Joined: Oct 27, 2008
Messages: 456
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kwa kufuata sheria zinazo ondoa usumbufu na kuvunja sheria kandamizi zinazoleta usumbufu. Katiba ndio hiyo inapigiwa kelele haifai na ndivyo hivyo hivyo baadhi ya hizo sheria zinazotokana na hiyo katiba ni batili.

15. Mashamba

Mashamba JF-Expert Member

#15
Sep 2, 2011
Joined: Sep 1, 2011
Messages: 415
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
"dhuluma katu haiwez kusimama mbele ya haki" Arusha mwishon itakua tution kwa magamba.

Loading...